Soga za kijiweni

Soga za kijiweni

DMmasi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2020
Posts
561
Reaction score
900
Nakumbuka tulikuwa high na ilikuwa inanyongwa nyingine, bapa moja chali na lilikuwa limeagizwa lingine na maji kubwa, na tukiwa high tunautazama ulimwengu kwa chini. Soga za hapa na pale ila hii ilinivuta shati

Ili upate kumtawala mtu unamtengenezea uwoga. Mfano waliotuambia kuhusu jehanamu. Tukiwa mbali nao wanasema huko ndipo patakuwa nyumbani.

Mzungumzaji akainua glass
 
Nahisi bado bapa na msokoto havijaisha kichwani😂😂😂😂
 
20241110_090355.jpg
 
na kabla haijaisha inawekwa nyingine
 
Back
Top Bottom