sogea uko....

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
13,104
Reaction score
5,659
Ni zaidi ya miaka kumi sasa imepita tangu nishuhudie hii kitu kwa macho na masikio yangu mwenyewe. Rafiki yangu wa karibu sana alitokea kuwa na mapenzi makubwa sana kwa binti fulani, alimpenda sana kiasi kwamba kitaa ilikuwa inaonekana kama jamaa kachanganyikiwa fulani hivi.

siku ya siku ilikuwa na sikukuu kati ya Pasaka au Chrismas Jamaa akanipa Gift. "CHABO", Nikakubali, so mida ilipowadia kijana nikaning'inia dirishani.

Toba!! Nilichokiona nilibaki mdomo wazi.

Nilipofika dirishani nilikuta tayari wamekaa kitandani, na jamaa akampelekea binti mkono mapajani, yule binti akautoa, jamaa akaupeleka mgongoni, binti akautoa tena, jamaa ikabidi amsogelee karibu zaidi binti akamsukuma na kumuambia SOGEA UKO.

Baada ya hapo, jamaa akiwa amekwishavaa sura ya unyonge akamsogelea na kumnong'oneza maneno ambayo sikuyakia vizuri, ghafla yule binti akamtandika jamaa kofi la usoni pwaaa, lingine paaa. Pale dirishani nikabaki nimepigwa bumbuwazi nikiwa najiuliza inamaana nimechelewa kufika dirishani hawa watu kuna kitu waliishakosana humu ndani au nini?

Binti akaanza kurap sasa
Nyie wanaume mkiachiwa mnakuwa na mazoea mabaya sasa nyie, tena kama wewe ni mshenzi sana wewe hemu lione sura, duu!! Jamaa kama mjinga vile akapiga magoti chini na kunyenyekea kwa binti, binti akamuuliza unataka nini? Jamaa kimya! unataka nini? "kwa sauti zaidi kidogo" Jamaa akamsogelea kidogo kwa kuburuza magoti, akala tena kofi pwaaa. Nikashindwa kuvumilia nikaondoka dirishani.

Baada ya kama dakika kumi na tano, nikarudi site, ohooo, nikakuta Jamaa anapiga kazi tena ya ukweli, sababu alikuwa amemkunja yule binti kiasi kwamba sikuweza kumtambua ndani ya sikunde chache za mwanzo, Panda, shuka,Panda,shuka mpaka akalegea wakakumbatiana na kusinzia.

Kwa kifupi zaidi, baada ya apo walitoka nje ni nikakutana nao sehemu tuliyokubalina the three of us tukaenda zetu sehemu kula bata, wakiwa happy kabisa na hakuna indication yoyote ile ya biff wala ugomvi. Jamaa aliponiuliza kama nilitokea dirishani nikasema sikwenda niliogoga watu kustukia, akaniambia nimepochezea ofa anipi tena. Yeye alikuwa anadai alinipa offa ili nione ambavyo huwa anawashughulikia mabinti.

Tatizo: Inawezekana kwamba wanaume wengi zaidi huwa wanafanyiwa unyanyasaji na mateso makubwa sana huko mavyumbani lakini hawasemi au hii ni exceptional??
 

Sijakupata vizuri hapo kwenye red!
 
Hakuna raha bila karaha...........wewe unasema hilo wengine tulishazungushwa masaa 8 wakati kuku wangu mwenyewe
 
Sijakupata vizuri hapo kwenye red!

Ile kupiga chabo alinipa ofa, sababu kuna sehemu dirishani aliiacha wazi niweze kuona kitandani, lakini mimi kwa kumuonea aibu ya kichapo alichokula kule ndani nikamuambia sikwenda dirishani so ndo akaniambia nimechezea ofa!!
 
na wewe huwa unakula makofi?

Kwa hilo la makofi hapana maana kwa asili ningeshamkata panga...........lakini huoni kuhenyeshwa masaa 8 ni adhabu fulani. Halafu kabala sijasahau umeacha tabiia ya chabo?
 
Duuuuh! Wapiga chabo mnaona mengi!
 
Mi huwa nashangaa sana .wanaume tunaonekana tuna shida sana na hii kitu wakati kiukweli pande zote mbili tunafaidi
 
ishu ni ile kitu tu kumeza mwenzie!eh baaaasi kazi ipo chaaleh! !
 
Lazima shuleni ulikua MBOVU sana ku ORGANIZE essays...
 
Kwa hilo la makofi hapana maana kwa asili ningeshamkata panga...........lakini huoni kuhenyeshwa masaa 8 ni adhabu fulani. Halafu kabala sijasahau umeacha tabiia ya chabo?

Sikuwahi kuwa na hiyo tabia mkuu
 
Unafikiri waswahili wanapoita 'kilele' ama 'mshindo' wanamaanisha nini? Tumia kila mbinu, vumilia kila kitu ufike hapo baba! Mwisho ni crown ambayo haisemeki!
 
Ulipomaliza ukaenda kupiga nyeto..afu mkaenda kukutana na jamaa na demu wake
 
Hukuwahi kuwa nayo na wewe unatusimulia ulialikwa kula chabo kwa rafiki yako? Unajichanginyi kama policcm

Nadhani tunatofautiana uelewa wa maana ya neno tabia. kwangu mimi hii ilikuwa ni mara ya kwanza na sikumbuki kuwahi kupiga chabo tena, kama hii inaqualify kuitwa tabia, basi niliishaacha.
 
Reactions: SMU
Mmmh, ila ugomvi na haya makitu ni kama samaki na maji
Lazima utumie mbinu za kunywa maji ili upate oksijeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…