Soka bongo

Soka bongo

Tchage95

Member
Joined
Jun 25, 2016
Posts
11
Reaction score
3
Huyu mtangazaji wa mpira wa azam anaendeshwa na ushabiki.
Mabeki wa azam wanacheza rafu anasema eti haja kusudia... Mchezaji wa yanga huyu namba saba amechezewa rafu mara mbili na huyu beki wa kushoto wa azam anasema eti uyu wa yanga anajirusha ili kumhadaa refa...navojua mtangazaji hatakiwi kuelemea upande wowote... Au labda mimi ndo sielewi. Nisaidieni...
 
punguza pressure ww kwan mtangazaji anamaamuzi gani kwenye mechi!! kandambili mlizoe mbeleko tuuu!!
 
Mnataka wote wawe upande wenu kama kawa?Acheni na wengine waambulie hata hao watangazaji ambao hawana effect yoyote kwenye dimba.
 
Mleta mada uko sahihi japokuwa mimi shabiki wa simba lakini wale watangazaji walikuwa upande wa Azam so sijui wanabembeleza ugali anyway tuachaneni na hayo
 
Yaani hata Mimi nimeshangaa hawa watangazaji yaaani kuwapa tenda ya kurusha mpira vpl imekuwashida
 
Back
Top Bottom