Huyu mtangazaji wa mpira wa azam anaendeshwa na ushabiki.
Mabeki wa azam wanacheza rafu anasema eti haja kusudia... Mchezaji wa yanga huyu namba saba amechezewa rafu mara mbili na huyu beki wa kushoto wa azam anasema eti uyu wa yanga anajirusha ili kumhadaa refa...navojua mtangazaji hatakiwi kuelemea upande wowote... Au labda mimi ndo sielewi. Nisaidieni...