SOKA LA AFRICA KILA KITU KIPO NJE YA UWANJA

It's true
 
Yanga pia walimlazimisha Refa pale Iringa aangalie lile goli walilofungwa ktk mechi yao na Lipuli Refa aliwaambia huo mtambo haujafungwa.
 
Kuna makosa mengi tu ya kiufundi.

Hili la fainali kuchezwa mara mbili nalo ni tatizo.

Fainali ipigwe mechi moja, uwanja huru kuondoa changamoto za hapa na pale.
 
Niwakati sasa shirikisho caf kufumua kanuni zake. Kanuni hizi ndizo zilizotengeneza matabaka ya timu za magharibi kujimilikisha mashindano haya kwa ngazi ya club.

nitataja baadhi ya mapungufu.
1 timu shiriki kuanza hatua ya mchujo. Hii sijui wameitoa wapi ni uchochoro wa timu za kiarabu kufanya figisu wanapo kuwa kwenye hatua hii.

inatakiwa timu zianze hatua ya ligi kama uefa champions legue. Alafu timu itakayo kusanya point nyingi ndio ziende kwenye hatua ya 16 bora.

maana timu ikijua ina cheza mfumo wa ligi watagangamara kupigania point na ndio utakua mwisho wa utawala wa waarabu.
 
Hoja nzuri Sana hii! Safi
 
Game ya pili ya fainali itarudiwa, kipute kitapigwa kwa Madiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…