Niwakati sasa shirikisho caf kufumua kanuni zake. Kanuni hizi ndizo zilizotengeneza matabaka ya timu za magharibi kujimilikisha mashindano haya kwa ngazi ya club.
nitataja baadhi ya mapungufu.
1 timu shiriki kuanza hatua ya mchujo. Hii sijui wameitoa wapi ni uchochoro wa timu za kiarabu kufanya figisu wanapo kuwa kwenye hatua hii.
inatakiwa timu zianze hatua ya ligi kama uefa champions legue. Alafu timu itakayo kusanya point nyingi ndio ziende kwenye hatua ya 16 bora.
maana timu ikijua ina cheza mfumo wa ligi watagangamara kupigania point na ndio utakua mwisho wa utawala wa waarabu.