Soka la Bongo: Je hii ni mbeleko, nisaidie?

Soka la Bongo: Je hii ni mbeleko, nisaidie?

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Leo golikipa amewekewa mgongo...... Mwamuzi kapeta.

Watu wakafunga.

Je hii ni mbeleko? au ni masuala ya M-Pesa?

Hapana!! hii ni mbeleko. Sipati picha kama Agyei angechezewa vile kungetokea nini!

Labda mitandao ingewaka moto muda kama huu wakisikika wakisema mechi zao dhidi ya JKT Ruvu ziwe zinachezeshwa na mwamuzi wa kigeni.!!

Au labda Manji angetupiwa lawama kwanini anawaonga waamuzi kwa kuwa yeye ni mtu pekee aonekanaye mwenye pesa nyingi Tanzania!

Au Upande fulani ungekuwa unalaumiwa kwa kuharibu soka la Bongo kwa kuwa wao wana wahadaa timu ndogo ili ziweke ngumu dhidi yao.!!

Au pengine viongozi wao wangekuwa wanaandika barua iwafikie TFF ili mwamuzi aadhibiwe.!!

Na huenda pengine watani zao wangeshinda bao la Aina hii yangesemwa mengi sana mtaani.. [emoji23]

Ila kwa kuwa upande wao ndio umehusika kufanyiwa mbeleko za aina hii.... na wanajua kuwa ni Mbeleko basi wameamua kukaa kimya sana... wakionekana kushangilia ushindi kimoyo moyo tu.

Anyway!!! Pongezi ziwafikie.... Bado mitanange takribani 14 ya LigiKuu Tanzania bara. Kama hujamalizana na Azam FC na Yanga SC hapa Dar..... usijihesabie haki ya Ubingwa.

"Maana njia pekee ya kufanikisha kusimamisha Gharika ni 'kubadilisha bonde kuwa tambalale' Bye! ".. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa mbona kama unajitekenya mwenyewe na unacheka mwenyewe....! Unauliza alafu unajijibu mwenyewe. Anyway lile ni goal safi tu kama magoli mengine

Kama umeangalia game sidhani kama wewe umeona tukio hilo hilo tu kwa dakika zote 90, kabla ya lile goal kipa alikuwa na mchezo wa kujiangusha mwenyewe tena yuko peke yake na alikuwa akifanya vile kupunguza hali mashambulizi ya team pinzani na kuwapa nafasi wachezaji wenzie wapunguze pressure na kujipanga upya, ni mbinu ambayo imekuwa ikitumika popote duniani

Turudi kwa refa baada ya kushuhudia kipa anajiangusha mara mbili tena mwenyewe akajua ni mbinu yake hivo ata pale pia akahisi itakuwa ni janja ya kipa ikabid akatoe advantage move iendelee na wala ile move ilikuwa haina madhara sema tu kwakuwa ilizaa goli ndomana mapovu kibao, sidhani kama ule mpira ungetoka nje ungekuja hapa kulilia kuwa refa alikosea kuacha move iendelee

Na baada ya goli sidhani kama uliona yule kipa anaendelea kujiangusha maana anajua wazi yeye ndie aliecost team yake, sema kwakuwa maisha bila unafki hayaendi tena hasa ukiwa team pinzani (NDALA FC) ndomana mmelivalia kibwebwe hili tukio
 
Kipa kajiangusha na kupoteza muda zaidi ya mara 5.Ikabidi refa atoe advantage ili flow ya mechi iendelee.Baada ya goli uliona akijiangusha tena?Ilitakiwa aadhibiwe kwa ku sabotage mpira na time wasting tacticts.
 
Mishahara mmelipa?Tetesi zinasema hapakaliki. Ulishiriki jana kuwapiga wachezaji kwa kutoa draw?
Nauliza hivyo kwa sababu tokea jana hukuonekana JF na pumba zako nikadhani unaisaidia polisi baada ya vurugu za jana.
 
Kipa kajiangusha na kupoteza muda zaidi ya mara 5.Ikabidi refa atoe advantage ili flow ya mechi iendelee.Baada ya goli uliona akijiangusha tena?Ilitakiwa aadhibiwe kwa ku sabotage mpira na time wasting tacticts.
Uwe na aibu mkuu, mara ngapi ameanguka?

Ni mpango tu wa serikali kupata senti mbili tatu kutoka kwa wachezaji wa Simba pindi watakapoenda kuomba passport maana siku nyingi hamjasafiri nje
 
Uwe na aibu mkuu, mara ngapi ameanguka?

Ni mpango tu wa serikali kupata senti mbili tatu kutoka kwa wachezaji wa Simba pindi watakapoenda kuomba passport maana siku nyingi hamjasafiri nje
Bada ya kijib hoja we unalopoka tu hata hjui kjb nyambafuuuu ndo mana mnaendelea kuogelea kwny matibwi vyura sc[emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196] tambwe alivochkua mpira na mkono akaenda kufunga refa alihongwa
 
Hakuna faulo nyepesi kama ile duniani kipa alikuwa analeta mahaba uwanjani wakati mnyama anataka point3 muhimu
 
Agyei usimfananishe na vitu vya kijinga! Kilichomkurupusha na kuliacha goli wazi ni kitu gani? Mkuu hebu achana na hiki kilio cha uke wenza! WE ENDELEA KUTULETEA UCHAMBUZI JUU YA MFUMO MPYA ALIOLETA LWANDAMINA JINSI UNAVYOBAMBA![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cha ajabu kabisa,aliopochungulia mpira unaelekea golini mwake ndio kaanza kusingizia kaumia.kama kweli aliumia mbona hakuomba kutoka.Yanga tabu tu isee.Na bado tutawafunga urudi hapa kiusema tuliwafunga issivyohalali.
 
Back
Top Bottom