Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Soka/kandanda/kabumbu ni mchezo unaopendwa na kuwa na mashabiki sana sehemu nyingi duniani na hata hapa Tanzania.
Hufuatilia sana mpira wa bongo hivi karibuni yamkini kuna mashabiki wengi ila ukienda uwanjani hakuna mtu labda ziwe ni mechi takwa kama za simba na yanga, ukiangalia mahudhurio ya viwanja na timu za mikoani ndio kabisaaa. Hoi hoi bin taabani. wakati mwingine mahudhurio ni mengi kwenye vibanda vya kuangalia EPL kuliko uwanjani kuangalia ligi kuu ya Tanzania.
unafikiri nini kifanyike kuongeza mahudhurio viwanjani?