Soka la Bongo na wingi wa mashabiki na uchache wa wahudhuriajia viwanjani

Soka la Bongo na wingi wa mashabiki na uchache wa wahudhuriajia viwanjani

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
5,778
Reaction score
4,859
Soka/kandanda/kabumbu ni mchezo unaopendwa na kuwa na mashabiki sana sehemu nyingi duniani na hata hapa Tanzania.

Hufuatilia sana mpira wa bongo hivi karibuni yamkini kuna mashabiki wengi ila ukienda uwanjani hakuna mtu labda ziwe ni mechi takwa kama za simba na yanga, ukiangalia mahudhurio ya viwanja na timu za mikoani ndio kabisaaa. Hoi hoi bin taabani. wakati mwingine mahudhurio ni mengi kwenye vibanda vya kuangalia EPL kuliko uwanjani kuangalia ligi kuu ya Tanzania.


unafikiri nini kifanyike kuongeza mahudhurio viwanjani?
 
Ligi yetu bado haijatangazwa vya kutosha, siku ya mechi unakuta ni watu wachache sana wanaojua kama kuna mechi.
 
Kasumba ya timu ndogo kucheza kwa bidii wakicheza na Yanga au simba ndio inauwa mpira. Hivi vitimu na azam ikiwemo vinacheza chini ya viwango wakicheza wenyewe... Sio kama zamani
 
Azam TV kuonyesha mpira kumepunguza idadi ya wanaokwenda uwanjani
 
Back
Top Bottom