Huu uzi umeanzishwa na mtu aliyekosa utulivu kabisa!Hakika wale kwenye upeo na wasio na wale wachache wanaweza nielewa kuwa mpira bongo ni kama mazingsombwe tu kwa sababu...
Anaidhalilisha familia yake.UNAJISIKIAJE KUANIKA UPUMBAVU WAKO KWENYE MITANDAO YA KIJAMII???
ACHA KUIDHALILISHA Jamii Forum.
[emoji120]
Uto utamjua tu!!Hakika wale kwenye upeo na wasio na wale wachache wanaweza nielewa kuwa mpira bongo ni kama mazingsombwe tu kwa sababu;
1. Uongozi wa juu ni mashibiki kindakindaki hasa kwa timu ya yanga na simba.
2. Upangaji ratiba umekuwa wa hovyo haizingatii michuuano mikubwa.
3. Marefa wengi wao wana tamaa ya pesa.
Ongeza lako
Baado hawajasema..baaado..!Yanga na mtasemaa
Yan mpaka mseme
Hapa mbona bado hamjasema vizuri
Kale ka mwiko ka ihefu kamekunasiaHakika wale kwenye upeo na wasio na wale wachache wanaweza nielewa kuwa mpira bongo ni kama mazingsombwe tu kwa sababu;
1. Uongozi wa juu ni mashibiki kindakindaki hasa kwa timu ya yanga na simba.
2. Upangaji ratiba umekuwa wa hovyo haizingatii michuuano mikubwa.
3. Marefa wengi wao wana tamaa ya pesa.
Ongeza lako