baba aura
JF-Expert Member
- Aug 5, 2023
- 254
- 393
Hakika wale kwenye upeo na wasio na wale wachache wanaweza nielewa kuwa mpira bongo ni kama mazingsombwe tu kwa sababu;
1. Uongozi wa juu ni mashibiki kindakindaki hasa kwa timu ya yanga na simba.
2. Upangaji ratiba umekuwa wa hovyo haizingatii michuuano mikubwa.
3. Marefa wengi wao wana tamaa ya pesa.
Ongeza lako
1. Uongozi wa juu ni mashibiki kindakindaki hasa kwa timu ya yanga na simba.
2. Upangaji ratiba umekuwa wa hovyo haizingatii michuuano mikubwa.
3. Marefa wengi wao wana tamaa ya pesa.
Ongeza lako