Soka la Bongo ni pasua kichwa

Soka la Bongo ni pasua kichwa

wadzelino

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2019
Posts
225
Reaction score
385
Binafsi huwa siwaelewi bodi ya Ligi wala TFF. Yani timu hizi mbili hasa wale wa ngumi mkononi Ratiba ikipangwa wataambiwa waanze mechi kumi nyumbani ili wapate hela ya kusafiria.

Sasa hiyo ni Ligi au ni Ligi ya timu mbili tu?

Au wengine wacheze saa nane mchana ilihali wengine siyo, pana usawa kweli hapo?

Hebu tujifunze kutoka kwa wenzetu, Man City, Liverpool, Chelsea, Man U, wanaweza kucheza wakati wowote na wanaweza kuzindua pazia la Ligi pasipo upendeleo.

Najua timu mihemko watakuja na povu!
 
Tanzania hakuna mpira ,league inaendeshwa na ma timu mawili tu Simba na yanga ....

Pumbavu sana
 
Back
Top Bottom