joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Man city panga first eleven tuone kama utapata waingereza watano...Tatizo hatuna wachezaji watanzania wa kutufikisha hapo tunategemea wageni
Hivyo soka ka Tanzania kwa upande wa timu ya taifa ni zero.
Kwani wachezaji wanaoipa UCL Madrid wa wapi? Hizo ni klabu sio timu za taifa.Tatizo wachezaji wanao fanya vizuri na kuzibeba hizi timu wote ni wa nje, so haya mafanikio hayana uzuri wowote kwa timu yetu ya taifa.
Ila kama Yanga akipangiwa Asec,anaingia Nusu fainali.
Itapendezaaa sanaaa.Utabiri wangu
Mamelod vs Es Tunis
Yanga vs petro Atletico
Simba vs Al Ahly
Asec vs Tp Mazembe
Ulikiona kilicho tokea AFCON, ligi yako ni ya tano kwa ubora ila imeshindwa hata kuvuka round ya pili, njoo kwenye timu zetu,wanao perform na kuimbwa kila siku ni wachezaji wa mataifa gani?Kwani wachezaji wanaoipa UCL Madrid wa wapi? Hizo ni klabu sio timu za taifa.