Soka letu kivyetuvyetu.

Soka letu kivyetuvyetu.

Mwl Philemon

Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
63
Reaction score
70
Kocha mmoja kufundisha timu mbili ligi moja kwa wakati mmoja kivyetuvyetu.

Timu kukosa golikipa na kumtumia mchezaji wa ndani kama kipa kivyetuvyetu.

Kosa moja kutendwa na watu wawili wanaosimamia na mtu mmoja mwingine akaadhibiwa na mwingine kuachwa kivyetuvyetu.

Halafu anakuja mtu mmoja anakuja na kauli ya Waziri fa
 
Halafu kuna watu wanashangaa Yanga ikilalamikia mauza uza wanayofanyiwa na TFF ya Wallace Karia, ambaye pia ni mshabiki na mwanachama wa timu mbili nchini; Coastal Union na Simba!

Hii ishu ingeihusisha Yanga, basi ungeshangaa pingamizi lingewekwa faster na hao hao TFF kumzuia huyo kocha kufundisha timu mbili kwa wakati mmoja.
 
makocha ni tofauti na wachezaji, mikataba ya makocha haipo tff..ipo kwenye timu zao, kocha anaweza kuvunja mkataba na timu A na kwenda timu B muda wowote akiona maslah ni mazuri...Nashangaa hii nchi sijui kwann watu ni mambumbumbu sana kuanzia baadhi ya wachambuzi mpk mashabiki..huwa naona kinyaa ninavyoona watu hawana uelewa wa mambo madogo kama haya.
Elimu Elimu Elimu
 
SOKA LA BONGO LINA MAJUNGU SANA. MLISEMA ZORAN AFUKUZWE, KAFUKUZWA SASA SIMBA INGEPATA WAPI KOCHA MWENYE LESENI YA FIFA/CAF NDANI YA SIKU 3?

ADEN RAGE AKIWAITA MBUMBUMBU MNANUNA!
 
makocha ni tofauti na wachezaji, mikataba ya makocha haipo tff..ipo kwenye timu zao, kocha anaweza kuvunja mkataba na timu A na kwenda timu B muda wowote akiona maslah ni mazuri...Nashangaa hii nchi sijui kwann watu ni mambumbumbu sana kuanzia baadhi ya wachambuzi mpk mashabiki..huwa naona kinyaa ninavyoona watu hawana uelewa wa mambo madogo kama haya.
Elimu Elimu Elimu
Mimi sizijui sheria vizuri sanaaa ila ukiwasoma watu miandiko yao tuu unajua hawa hawana akili. Wanafata mikumbo hivi kweli Tff wote hapo hawana wanalolijua yani kitu kiwe kina shida au kinyume na sheria wawe wamenyamaza tuu? ila mashabiki ndo wanajua vyote yani mtu anaropoka mpk unaona aibu. Kweli unaweza kuwa na elimu ila kuitumia ikakuangusha.
 
Karia tff hapo watajifanya hawaoni. Shenzi wahed na wataendelea kuumia. Bado.
Hata Simba kujiita timu kubwa halafu kufanya upuuzi kama huu, wanatia mashaka kidogo kwenye weredi wao.
Halafu kuna watu wanashangaa Yanga ikilalamikia mauza uza wanayofanyiwa na TFF ya Wallace Karia, ambaye pia ni mshabiki na mwanachama wa timu mbili nchini; Coastal Union na Simba!

Hii ishu ingeihusisha Yanga, basi ungeshangaa pingamizi lingewekwa faster na hao hao TFF kumzuia huyo kocha kufundisha timu mbili kwa wakati mmoja.
Hawajui wanachotaka TFF.
 
makocha ni tofauti na wachezaji, mikataba ya makocha haipo tff..ipo kwenye timu zao, kocha anaweza kuvunja mkataba na timu A na kwenda timu B muda wowote akiona maslah ni mazuri...Nashangaa hii nchi sijui kwann watu ni mambumbumbu sana kuanzia baadhi ya wachambuzi mpk mashabiki..huwa naona kinyaa ninavyoona watu hawana uelewa wa mambo madogo kama haya.
Elimu Elimu Elimu
Wangemtambulisha kuwa kocha wao moja kwa moja isingekuwa tatizo.
 
Back
Top Bottom