Mwl Philemon
Member
- Nov 29, 2018
- 63
- 70
Mimi sizijui sheria vizuri sanaaa ila ukiwasoma watu miandiko yao tuu unajua hawa hawana akili. Wanafata mikumbo hivi kweli Tff wote hapo hawana wanalolijua yani kitu kiwe kina shida au kinyume na sheria wawe wamenyamaza tuu? ila mashabiki ndo wanajua vyote yani mtu anaropoka mpk unaona aibu. Kweli unaweza kuwa na elimu ila kuitumia ikakuangusha.makocha ni tofauti na wachezaji, mikataba ya makocha haipo tff..ipo kwenye timu zao, kocha anaweza kuvunja mkataba na timu A na kwenda timu B muda wowote akiona maslah ni mazuri...Nashangaa hii nchi sijui kwann watu ni mambumbumbu sana kuanzia baadhi ya wachambuzi mpk mashabiki..huwa naona kinyaa ninavyoona watu hawana uelewa wa mambo madogo kama haya.
Elimu Elimu Elimu
Hata Simba kujiita timu kubwa halafu kufanya upuuzi kama huu, wanatia mashaka kidogo kwenye weredi wao.Karia tff hapo watajifanya hawaoni. Shenzi wahed na wataendelea kuumia. Bado.
Hawajui wanachotaka TFF.Halafu kuna watu wanashangaa Yanga ikilalamikia mauza uza wanayofanyiwa na TFF ya Wallace Karia, ambaye pia ni mshabiki na mwanachama wa timu mbili nchini; Coastal Union na Simba!
Hii ishu ingeihusisha Yanga, basi ungeshangaa pingamizi lingewekwa faster na hao hao TFF kumzuia huyo kocha kufundisha timu mbili kwa wakati mmoja.
Wangemtambulisha kuwa kocha wao moja kwa moja isingekuwa tatizo.makocha ni tofauti na wachezaji, mikataba ya makocha haipo tff..ipo kwenye timu zao, kocha anaweza kuvunja mkataba na timu A na kwenda timu B muda wowote akiona maslah ni mazuri...Nashangaa hii nchi sijui kwann watu ni mambumbumbu sana kuanzia baadhi ya wachambuzi mpk mashabiki..huwa naona kinyaa ninavyoona watu hawana uelewa wa mambo madogo kama haya.
Elimu Elimu Elimu