Msinifanye mna yenu wakati Kila kitu mnaiga kwao. Mikataba yenyewe mmeiga kwao. Si mlikuwa na soka lenu la Hiari na Mapenzi Kwa timu? Hii mikataba mnayotamba nayo mliiga wapi?Usipende kuona Ulaya ni pa maana sana hadi tuone tusipofanya kama wao tutakuwa tunaharibu
Sisi ni sisi na wao ni wao , wana mambo yao tuna yetu
Tunapinga ushoga wao wanaona si ishu sana , utofauti upo daima
Kwa hiyo unataka tuige kila kitu , tusipoiga unatuona hayawani sio?Msinifanye mna yenu wakati Kila kitu mnaiga kwao. Mikataba yenyewe mmeiga kwao. Si mlikuwa na soka lenu la Hiari na Mapenzi Kwa timu? Hii mikataba mnayotamba nayo mliiga wapi?
Utofauti upo sawa ila kwenye mazuri waliyotuzidi ni lazima tuige ili siku tuje kuwa kama wao.Usipende kuona Ulaya ni pa maana sana hadi tuone tusipofanya kama wao tutakuwa tunaharibu
Sisi ni sisi na wao ni wao , wana mambo yao tuna yetu
Tunapinga ushoga wao wanaona si ishu sana , utofauti upo daima
Sie tunapinga ushoga kinafiki kaka wanaopinga ushoga ni taliban pekeeUsipende kuona Ulaya ni pa maana sana hadi tuone tusipofanya kama wao tutakuwa tunaharibu
Sisi ni sisi na wao ni wao , wana mambo yao tuna yetu
Tunapinga ushoga wao wanaona si ishu sana , utofauti upo daima
Taleban nao wana mapungufu yao , hata hivyo hakuna wa kuzuia ushoga mitaani maana dhambi haitapoa bali itatamalaki kadri tunavyokaribia hukumu ya mileleSie tunapinga ushoga kinafiki kaka wanaopinga ushoga ni taliban pekee
Simba na Yanga ni timu za serikali.Ulaya kila mji wanashangilia timu yao,bongo Simba na Yanga ni timu za nchi nzima aisee,sijui tumewezwa wapi?
Sijawai kusikia mechi ya Polisi Tanzania Vs JKT Ruvu mgeni rasmi ni Rais au PM wakati izo timu ni taasisi za serikali.
Tanzania prison,Polisi,JKT Ruvu hizi ni timu za taasisi za serikali pia.Simba na Yanga ni timu za serikali.
Simba na Yanga zilimilikiwa na serikali kwa malengo ya kisiasa.Tanzania prison,Polisi,JKT Ruvu hizi ni timu za taasisi za serikali pia.
Hili sasa ndio nenoTaleban nao wana mapungufu yao , hata hivyo hakuna wa kuzuia ushoga mitaani maana dhambi haitapoa bali itatamalaki kadri tunavyokaribia hukumu ya milele
Kwani lazima kila kitu kuwaiga wazungu hivi Africa nani aliturogaKipindi Cha Usajili
Timu Za Ulaya- "Agreement Reached We Are Delighted To Announce We Have Signed Player ..... For More Information Visit Our Website"
Timu Za Bongo- "Weka Bando Kaa Karibu Na Simu Saa ..... Upande Wa Pili Utajuta Hiki Kifaa Ni Balaa Haijawahi Tokea" [emoji1787][emoji1787]View attachment 2681693