Soka letu kivyetuvyetu

Soka letu kivyetuvyetu

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Kipindi Cha Usajili

Timu Za Ulaya- "Agreement Reached We Are Delighted To Announce We Have Signed Player ..... For More Information Visit Our Website"

Timu Za Bongo- "Weka Bando Kaa Karibu Na Simu Saa ..... Upande Wa Pili Utajuta Hiki Kifaa Ni Balaa Haijawahi Tokea" [emoji1787][emoji1787]
20230629_233943.jpg
 
Usipende kuona Ulaya ni pa maana sana hadi tuone tusipofanya kama wao tutakuwa tunaharibu
Sisi ni sisi na wao ni wao , wana mambo yao tuna yetu
Tunapinga ushoga wao wanaona si ishu sana , utofauti upo daima
Msinifanye mna yenu wakati Kila kitu mnaiga kwao. Mikataba yenyewe mmeiga kwao. Si mlikuwa na soka lenu la Hiari na Mapenzi Kwa timu? Hii mikataba mnayotamba nayo mliiga wapi?
 
Msinifanye mna yenu wakati Kila kitu mnaiga kwao. Mikataba yenyewe mmeiga kwao. Si mlikuwa na soka lenu la Hiari na Mapenzi Kwa timu? Hii mikataba mnayotamba nayo mliiga wapi?
Kwa hiyo unataka tuige kila kitu , tusipoiga unatuona hayawani sio?
 
Usipende kuona Ulaya ni pa maana sana hadi tuone tusipofanya kama wao tutakuwa tunaharibu
Sisi ni sisi na wao ni wao , wana mambo yao tuna yetu
Tunapinga ushoga wao wanaona si ishu sana , utofauti upo daima
Utofauti upo sawa ila kwenye mazuri waliyotuzidi ni lazima tuige ili siku tuje kuwa kama wao.
 
Ulaya kila mji wanashangilia timu yao,bongo Simba na Yanga ni timu za nchi nzima aisee,sijui tumewezwa wapi?
Sijawai kusikia mechi ya Polisi Tanzania Vs JKT Ruvu mgeni rasmi ni Rais au PM wakati izo timu ni taasisi za serikali.
 
Soka lao kivyaovyao
Soka letu kivyetuvyetu
Cha kwao chao, chetu chetu
Kizuri kwao kibaya chetu, kizuri chetu kibaya chao
Chetu chetu, chao chao kuna ubaya gani Tanzanian football made by tanfoot. Tusipangiane
 
Usipende kuona Ulaya ni pa maana sana hadi tuone tusipofanya kama wao tutakuwa tunaharibu
Sisi ni sisi na wao ni wao , wana mambo yao tuna yetu
Tunapinga ushoga wao wanaona si ishu sana , utofauti upo daima
Sie tunapinga ushoga kinafiki kaka wanaopinga ushoga ni taliban pekee
 
Kipindi Cha Usajili

Timu Za Ulaya- "Agreement Reached We Are Delighted To Announce We Have Signed Player ..... For More Information Visit Our Website"

Timu Za Bongo- "Weka Bando Kaa Karibu Na Simu Saa ..... Upande Wa Pili Utajuta Hiki Kifaa Ni Balaa Haijawahi Tokea" [emoji1787][emoji1787]View attachment 2681693
Kwani lazima kila kitu kuwaiga wazungu hivi Africa nani alituroga
 
Back
Top Bottom