Soka ni burudani, hii mechi iliisha Simba 3-1

Soka ni burudani, hii mechi iliisha Simba 3-1

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Mpira ni starehe, mpira ni ubishani, mpira ni ushabiki. Wewe na hisia zako za kidingi baki nyumbani au tafuta mchezo mwingine.
 
Kwani inaongelea nini hiyo clip!

Maana sisi wengine tunasubiri tu Oktoba 23 ifike. Wananchi tuna jambo letu siku hiyo.
 
October 23 General atachomeka miiko miwili nyuma

Suala La Kuwatia Nyie Tar 23 Liko Very Open Kama “K” Ya Mbuzi….Mtachagua Wenyewe Safari Hii Mbinuliwe Na Nani Aziz Ki, Fei Au Mnaitaka Ya Mayele Tena [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom