Soka: tusishiriki michuano ya kimataifa kwa miaka kumi tujenge timu

Soka: tusishiriki michuano ya kimataifa kwa miaka kumi tujenge timu

Hiyo timu unajengaje?..bila mashindano ya kimataifa samatta angekuwa genk leo?
 
Rudia tena kupitia Uzi wako na changanua na akili yako kama in sawa kufanya hivyo
 
TFF! Hawakuelewi kabisa mkuu. Mfano ni timu za kubumba za vijana na wanawake, kama wangekuwa na uchungu wa maendeleo ya soka ya nchi yetu wangeandaa utaratibu muendelezo wa kupata wachezaji wa timu hizo. Sasa hivi Mkwasa anajuta.
 
Back
Top Bottom