inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,344 Reaction score 21,967 Sep 4, 2016 #2 Hiyo timu unajengaje?..bila mashindano ya kimataifa samatta angekuwa genk leo?
pilato93 JF-Expert Member Joined Jun 28, 2014 Posts 6,296 Reaction score 6,692 Sep 4, 2016 #3 Rudia tena kupitia Uzi wako na changanua na akili yako kama in sawa kufanya hivyo
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Sep 9, 2016 #4 Shukrani sana .
Jacobus JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 4,703 Reaction score 1,724 Sep 9, 2016 #5 TFF! Hawakuelewi kabisa mkuu. Mfano ni timu za kubumba za vijana na wanawake, kama wangekuwa na uchungu wa maendeleo ya soka ya nchi yetu wangeandaa utaratibu muendelezo wa kupata wachezaji wa timu hizo. Sasa hivi Mkwasa anajuta.
TFF! Hawakuelewi kabisa mkuu. Mfano ni timu za kubumba za vijana na wanawake, kama wangekuwa na uchungu wa maendeleo ya soka ya nchi yetu wangeandaa utaratibu muendelezo wa kupata wachezaji wa timu hizo. Sasa hivi Mkwasa anajuta.