Soka yupo wapi? Tuambieni kama mmemficha au mmemuua tujue moja

Soka yupo wapi? Tuambieni kama mmemficha au mmemuua tujue moja

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
2,748
Reaction score
5,112
Deusdedith Soka
20240826_192923.jpg

Kijana wa watu mmemficha wapi au mmemuuwa hatujasahau ya kijana wa watu Ben Saanane mpaka leo hata shati lake halionekani achana na mwili.

Tuambieni tujue mtoto huyu mmemuua au?
 
Deusdedith Soka
View attachment 3080803

Kijana wa watu mmemficha wapi au mmemuuwa hatujasahau ya kijana wa watu Ben Saanane mpaka leo hata shati lake halionekani achana na mwili.

Tuambieni tujue mtoto huyu mmemuua au ?
IPO siku tutajua alipo, awe hair au la, uhai wa MTU ni zawadi ya Mungu sio fadhila za binadamu, Mungu atasaidia kutuonyesha alipo.
SOKA WE NEED YOU BACK!!
 
IPO siku tutajua alipo, awe hair au la, uhai wa MTU ni zawadi ya Mungu sio fadhila za binadamu, Mungu atasaidia kutuonyesha alipo.
SOKA WE NEED YOU BACK!!
Ipo siku kweli yana mwisho.

Wa mwisho atakuwa wa kwanza na wakwanza atakuwa wa mwisho dunia duara.

Tutekana tekana ni mambo ya kishamba.
 
Siku ya 10 leo kimya mtoto wa watu mmemuua ?
 
Deusdedith Soka
View attachment 3080803

Kijana wa watu mmemficha wapi au mmemuuwa hatujasahau ya kijana wa watu Ben Saanane mpaka leo hata shati lake halionekani achana na mwili.

Tuambieni tujue mtoto huyu mmemuua au?
Biblia inasema msiwagope wauao miili muogopeni auwaye roho na mwili
Ccm wanataka kutengeneza uoga ili waibe billa kusemwa

Lakini kanuni za asili zinakataa
Hii wanayoitumia ni njia ya mkato na muda mfupi tu
 
Deusdedith Soka
View attachment 3080803

Kijana wa watu mmemficha wapi au mmemuuwa hatujasahau ya kijana wa watu Ben Saanane mpaka leo hata shati lake halionekani achana na mwili.

Tuambieni tujue mtoto huyu mmemuua au?
Katikati ya kashfa ya wao kutuhumiwa kuteka na kuua watu, wakaja na maelezo mareeeefuuu ya kukamata ‘wauaji’ na kufukuliwa kwa watu waliouawa ‘wauaji’ hao.
Lakini hakuna hata Polisi mmoja aliyekamatwa kuhusishwa na utekaji wa raia na kuwapeleka waliotekwa kwenye gereji ya Polisi. Hayo hawataki kuyachunguza.
 
Leo siku ya 12 ndugu yetu kimya kizito.

Huu ni ukatili wa kiwango cha juu sana.
 
Siku nyingine hii wakati wengine tukilala kwa vitanda tutambue ya kuwa ndugu yetu hajulikani alipo na je, ana lala kama sisi au amelala usingizi wa milele ?ni majonzi kwa ndugu jamaa na marafiki.

Inasikitisha sana
 
Bring back our soka harafu upo nyuma ya keyboard..... Twendeni tukakeshe kituo Cha polisi chang'ombe maelf Kwa maelf hadi wamuachie acheni usenge
Kulikuwa hakuna ulazima wa kutoa lugha chafu.
 
Deusdedith Soka
View attachment 3080803

Kijana wa watu mmemficha wapi au mmemuuwa hatujasahau ya kijana wa watu Ben Saanane mpaka leo hata shati lake halionekani achana na mwili.

Tuambieni tujue mtoto huyu mmemuua au?
Dkt Slaa alisema wamepanga kumuua, jambo la kufurahisha ni kwamba safari hii Wauaji wanafahamika, kiongozi wao anaitwa Faustin Mafwele
 
Dkt Slaa alisema wamepanga kumuua, jambo la kufurahisha ni kwamba safari hii Wauaji wanafahamika, kiongozi wao anaitwa Faustin Mafwele
Tusubiri muda utasema.

Watekaji hawawezi kukimbia vivuli vyao.
 
Back
Top Bottom