Kulikuwa hakuna ulazima wa kutoa lugha chafu.
Wewe uhusiki ?Upo ulazima ifike kipindi mnaojifanya mnampenda mtu mjitoe maneno hayasaidii kwa Sasa taifa lilipp no lazima watu waamke uoga na kutoshirikiana haiwezi kuponya taifa hao ni watu wachche sana lakini mioyo ya watz ni ya kibinafsi andamaneni mkiwa wengi ikibidi mchome moto kituo na polisi waliopota huu ujinga kila sikunapiga kelele free someone free some kwenye mitandao hii Tanzania lazima ibadilike kwa watu kadhaa kujitoamuhanga otherwise mnajidanganyanru.
Baada ya kufa kwake nnini kimebadilika?Wala Usihofu, kila ubaya utalipwa, Magufuli pamoja na kuitwa Mungu na Chawa lakini alikufa kibwege sana!
Familia yake imempotezaBaada ya iufa kwakennini kimebadilika?
Deusdedith Soka
View attachment 3080803
Kijana wa watu mmemficha wapi au mmemuuwa hatujasahau ya kijana wa watu Ben Saanane mpaka leo hata shati lake halionekani achana na mwili.
Tuambieni tujue mtoto huyu mmemuua au?
Ndio imempoteza lakini kwanini mnaongea tu siasa kwanini msioganaizi watu na nyinyi mfanye harakati za Siri kama mmefahamu mtekaji mkuu mtekeni na yeye kimyakimya hii hapa inawezekana kisha mnaweza kujua chain ya utekaji inapoanzia sio kwa hisia Sasa hivi Tanzania ilipofikia sio sehemu ya kudai haki kwa katiba au Sheria sababu wahusika na wasimamizi wa haki ndio wanaohisiwa kuhusika kwanini msifanye harakati za Siri kuwasaka watekaji na wauaji ilihali wamefahamika walau mkiwanyoosha nao watatambua kuwa wanafanya sio sawa mbona wezi mnawachoma moto Sasa mafwele si ndio mnahiisi ni mkuu kamateni kwa Siri nyosheni .Familia yake imempoteza
Haya ni maneno tu watanzania muamke muwe wamoja acheni vita vyaaneno lazima damu zimwagike Tanzania hii ndo mtaheshimiana otherwise hizi ni kama porojonjf na X, haziwaiuni wahuni
Deusdedith Soka
View attachment 3080803
Kijana wa watu mmemficha wapi au mmemuuwa hatujasahau ya kijana wa watu Ben Saanane mpaka leo hata shati lake halionekani achana na mwili.
Tuambieni tujue mtoto huyu mmemuua au?
Bila ya kua na D mbili hawawezi wakakuelewa hawaMbowe sahivi yuko na familia yake na wanapata usingizi
Mnawashawishi vijana kushabikia harakati za siasa, lakini nyie ndiyo wanufaika. Vijana wanaishia kupata vilema hadi kupoteza maisha huku nyinyi mkijipatia fedha na kuishi maisha ya anasa.Deusdedith Soka
View attachment 3080803
Kijana wa watu mmemficha wapi au mmemuuwa hatujasahau ya kijana wa watu Ben Saanane mpaka leo hata shati lake halionekani achana na mwili.
Tuambieni tujue mtoto huyu mmemuua au?
Kujua peke yake hakusaidii, inatakiwa wanaofadhili hayo matendo nao washughulikiwe kikatili wao na familia zao.IPO siku tutajua alipo, awe hair au la, uhai wa MTU ni zawadi ya Mungu sio fadhila za binadamu, Mungu atasaidia kutuonyesha alipo.
SOKA WE NEED YOU BACK!!