Matukio ya kupotea yamekithiri sana Tz!
Naamini hivi siku zoteIPO siku tutajua alipo, awe hair au la, uhai wa MTU ni zawadi ya Mungu sio fadhila za binadamu, Mungu atasaidia kutuonyesha alipo.
SOKA WE NEED YOU BACK!!
Damu zao zisipotee Bure Eeh Mungu wa Israel
IPO siku tutajua alipo, awe hair au la, uhai wa MTU ni zawadi ya Mungu sio fadhila za binadamu, Mungu atasaidia kutuonyesha alipo.
SOKA WE NEED YOU BACK!!
Tusubiri muda utasema.
Watekaji hawawezi kukimbia vivuli vyao.