princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
sawaHABARI
kama kichwa cha habari kinavyojieleza, soko gani nitapata mafuta ya nazi ya asili yale wanayotengeneza kwa kutumia nazi kienyeji?
Hujasema uko Kigoma Kahama Mwanza Dar etcHABARI
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, soko gani nitapata mafuta ya nazi ya asili yale wanayotengeneza kwa kutumia nazi kienyeji?
Eh nmesahau samahani wakuu Niko DarHujasema uko Kigoma Kahama Mwanza Dar etc
Nazi mbovu huwa sio mazuri mana kuna ndugu yangu anataka ya TibaUnataka futa dada 🤣 ilala boma huwa naona wamekamua ila yale ni ya nazi mbovu !
unataka lita ngapi, niko kisiwa cha Mafia unapata orijino kabisa. 0752042670HABARI
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, soko gani nitapata mafuta ya nazi ya asili yale wanayotengeneza kwa kutumia nazi kienyeji?