Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,178
- 4,449
Sasa Kuna jamaa hapo naona kakomaa na soko huria;inabidi kushika tama tu.Shukrani, nitamfuatilia. Inaonekana tunayofundishwa kwenye formal education na yanayofanya kazi duniani ni mambo tofauti kabisa. Nilivyosoma tu Bad Samaritan nikaona jinsi ambavyo situation yetu ni hopeless.
Kuna Aina zaiidi ya 8 za chumi;A,B,C,D,I,M,N,K.
Sasa chumi ya Neo classical Economics ambayo ndio imeshika mpini katika nyakati hizi pamoja na vyuo na shule uchumi ndio inasambaza fleva hizi za sokohuria,demokrasia ,Haki za binadamu na fleva kibao.
Neo classic economic miaka ya 70s -80s ndio ilianza kupata nguvu kubwa Sana mpaka hivi sasa.
Pamoja na mapungufu ya mwalimu kambarage nyerere katika kuendesha uchumi wa Tanganyika/Tanzania ;ambaye mzee Lee yuan Kew Waziri mkuu wa zamani wa singapore alimuelezea Kama MTU asiyejua hata abc Za uchumi/simple economic katika interview PBS USA 2001...lakini mzee huyu katika Kitabu chake cha From third world to first world Singapore ndani ya Ku rasa 370 Alisema
"Nyerere was the Africa leader I most respected"
Anahoja nzinto na zilizoshiba kuhusu Soko huria;IMF & world Bank , ni jambo lakufatilia interview za mwalimu na hotuba zake..