Soko la ajira kwa Bs in Regional Development and Planning ya Ardhi University

Joined
Aug 15, 2013
Posts
18
Reaction score
0
naomben mnijuze kuhusu ajira na kama course hii inalipa hapa tz na ajira zake zinapatkana maeneo kama yap na kuzpata ndo ile unahaso kitaa miaka au fasta tu ukimalza chuo kwa anae jua lakn plz
 
dogo hio wala hugandi ukimaliza??ardhi hakuna course mbaya!!hutojuta kuichagua!!..
 
wizara ya ardi na manispaa zote za wilaya pamoja NGOs,kwenye miradi ndio utapeta na pia bado ajira zake zipo kwa wingi..kwa maelezo ya ziada ingia katika google then andika mipango miji na vijiji utapata kila kitu..usiwe na pressure na hio course ila utakesha sana kwenye kuchora na ziara mtafanya nyingi sana kwa sababu mtakua mnakwenda field katikati ya semister mikoani..achana na ile field ya mwisho wa mwaka!!..kila la kheri na muombe mungu akufanyie wepesi kwa kila kitu
 
mungu akubarik brada wng kwa maelezo yako en i'll work hard nkifka uko
 
Back
Top Bottom