Soko la ajira kwa Shahada ya Health System Management

Soko la ajira kwa Shahada ya Health System Management

karim kindole

Member
Joined
Aug 20, 2014
Posts
31
Reaction score
13
Heshima yenu wana Jf
Nlikua nahitaji msaada wa kujua haswa course ya health system management inahusu nini.? Soko na ushindani katka ajira.? Faida na hasara zake...
Nimemaliza form six ndugu wamenishauri nijaze iyo course lakini sijui yahusu nini...?
Ahsanteni:
 
Back
Top Bottom