SoC03 Soko la ajira nchini kwetu

SoC03 Soko la ajira nchini kwetu

Stories of Change - 2023 Competition

Rashid miraji ally

New Member
Joined
Jul 16, 2022
Posts
1
Reaction score
2
Mfumo wa elimu nchini kwetu Tanzania umekuwa ukienda tofauti sana na soko letu la ajira hii inatokana na kauli mbiu ya kwamba alieshiba hamtambui kwenye njaa

Wito wangu na maoni yangu katika Serikali kwa mfano kwa mwaka inauwezo wa kustaafisha wafanyakazi 2000 kwa wakati huo huo wahitimu wanaohitaji kuajiriwa kwa mwaka huo wapo 100,000, hapo kuna gepu la watu 98,000 wanaosalia bila ajira hivyo ndani ya miaka mitano serikali inatengeneza watu wasio na ajira 490000 !!!

Ushauri wangu, Serikali inatakiwa iandae mpango mbadala wa kudhibiti hali hii mfano kutengeneza ajira za mikataba ya muda mfupi lengo na nia hapa ni kuhitaji kutengeneza maisha ya haki na usawa kwa wananchi wote pia kuepusha wimbi la watu wasio na ajira katika nchi.
 
Upvote 2
Back
Top Bottom