Kijiti Senior Member Joined Apr 24, 2011 Posts 190 Reaction score 27 Jan 30, 2015 #1 Habari wana JF, Nilikua nauulizia soko la asali la nyuki wadogo wale wasio ng'ata. bei ya soko inakua ni sh ngapi kwa lita moja? Wasalam.
Habari wana JF, Nilikua nauulizia soko la asali la nyuki wadogo wale wasio ng'ata. bei ya soko inakua ni sh ngapi kwa lita moja? Wasalam.
Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,638 Reaction score 1,207 Jan 30, 2015 #2 10,000/.... kwa maelezo zaidi muulize Wapigwe Tuu aka PT, Piga Tuu!!!