Soko la asali

Soko la asali

cuteboy

Member
Joined
May 15, 2014
Posts
41
Reaction score
21
Poleni na kazi wanajf na pongezi kwa mengi ambayo tunaendelea kuelimishana na kujuzana hapa jf.

Mimi pia nipo hapa leo kuomba kujuzwa soko la asali ya nyuki wadogo na wakubwa maana nina sister angu yeye ni beekeeper ana asali nyingi hana sehem ya kuuzia.

Natanguliza shukran!!
 
Hiyo ndo Tanzania.Nilimsikia mh.Pinda akimjibu mbunge mmoja kuhusu soko la asali.Jaribu ku PM maana yupo humu JF.
 
kwa kweli soko la asali bado linaumiza kichwa...tanzania tuna asali nzuri sana yenye ubora wote lakin tunaishia kuuziana wenyewe mitaan ..yan ukiuza litre3 kwa siku unashukulu..!
 
Back
Top Bottom