Soko la barakoa na sanitizer linafifia!

Soko la barakoa na sanitizer linafifia!

sabuwanka

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
691
Reaction score
757
Kutokana na leo 16.06.2020 Rais JPM akilivunja bunge, ametangaza shule zote zitafunguliwa 29.06.2020 zilizokuwa zimefungwa mnamo April 17 kutokana na ugonywa wa covid 19.

Hivyo wenye stock za barakoa na sanitizer ni wakati wa kuzimalizia hata kwa kurudisha mtaji! Maana zinakosa soko Kama ndoo za kunawia zilivyodorora
 
Tangu ugonjwa umeingia hadi unaondoka sijawahi kujipaka sanitizer kwa kweli hivyo hata sijui zikoje,Nimenawa mara7 na kuvaa barakoa mara3.

Huu ugonjwa umekuwa wa kimkakati sana kwa kweli
 
Huwezi kutumia hivi v2 kama sio mshirika wa umma hasa maeneo ya ibada (kanisani au msikitini)
Pia sio mtu wa kujichanganya kwenye mikusanyiko km vile sokoni.
 
Tangu ugonjwa umeingia hadi unaondoka sijawahi kujipaka sanitizer kwa kweli hivyo hata sijui zikoje,Nimenawa mara7 na kuvaa barakoa mara3.

Huu ugonjwa umekuwa wa kimkakati sana kwa kweli
Hongera mkuu...kwa sisi tulioshuhudia watu 6 kufa na Korona ofisi jirani,tunakunywa nao chai,lunch na pengine kupanda gari pamoja ....hata tuliambiwa barakoa Ni Vitambaa vya Shetani hatuelewi!
Au eti haka Ni kugonjwa kadogo tu!
Hatudanganyiki!
 
teh ! teh ! teh teh !
Mie nilikiwa nagongea sanitizer za watu nikiona mtu katoa yake na mm nanyoosha mikono wengne wakuda walikuwa wanakaza hawakupi ila fresh
Hiyo barakoa ilikuwa nifanyaje tu kwenye MWENDOKASI hakuna namna nikawa navaa
 
Biashara ipo pale pale inategemea wewe una liangalia soko kwa namna ipi?

Mfano wakati shule zinafunguliwa kila mwanafunz anatakiwa aje na barakoa. Kwa mujibu wa muongozo wa wizara ya afya pamoja na elimu.

Sasa chakufanya kama barakoa zako ni standard basi fanya kutafuta shule utakazo ingia nazo ubiya ukiwa kama supplier wa hizo barakoa
 
Tuseme vitambaa vya kitenge
 
teh ! teh ! teh teh !
Mie nilikiwa nagongea sanitizer za watu nikiona mtu katoa yake na mm nanyoosha mikono wengne wakuda walikuwa wanakaza hawakupi ila fresh
Hiyo barakoa ilikuwa nifanyaje tu kwenye MWENDOKASI hakuna namna nikawa navaa
Kwi!kwi!kwi!kwi eti wakuda wanakaza.

Mi kiukweli sijawahi jipaka hasa niliposikia ile harufu yake jamaa alipojipaka nikasema huu upupu sasa.

Barakoa nimevaa mara3 tu mara1 nilipoenda hospitali,mara ya2 nilipoenda halmashauri na mara ya3 nilikuwa na safari yangu ya pkpk na njia ilikuwa na vumbi sana nikaigonga barakoa nikashusha kioo cha helment mwendo mdundo porini.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hongera mkuu...kwa sisi tulioshuhudia watu 6 kufa na Korona ofisi jirani,tunakunywa nao chai,lunch na pengine kupanda gari pamoja ....hata tuliambiwa barakoa Ni Vitambaa vya Shetani hatuelewi!
Au eti haka Ni kugonjwa kadogo tu!
Hatudanganyiki!
Ugonjwa huu kwa kweli umekuwa wa kiinteligensia sana kwa ww uliyewashuhudia hao watu wakifa sawa ila sisi wengine ulikuwa ukituuliza toa ushahidi juu ya mtu uliyeshuhudia amekufa kwa korona basi tulikuwa hatuna cha kusema tunabaki kumung'unya mdomo tu
 
Back
Top Bottom