Huwezi kutumia hivi v2 kama sio mshirika wa umma hasa maeneo ya ibada (kanisani au msikitini)Tangu ugonjwa umeingia hadi unaondoka sijawahi kujipaka sanitizer kwa kweli hivyo hata sijui zikoje,Nimenawa mara7 na kuvaa barakoa mara3.
Huu ugonjwa umekuwa wa kimkakati sana kwa kweli
Hongera mkuu...kwa sisi tulioshuhudia watu 6 kufa na Korona ofisi jirani,tunakunywa nao chai,lunch na pengine kupanda gari pamoja ....hata tuliambiwa barakoa Ni Vitambaa vya Shetani hatuelewi!Tangu ugonjwa umeingia hadi unaondoka sijawahi kujipaka sanitizer kwa kweli hivyo hata sijui zikoje,Nimenawa mara7 na kuvaa barakoa mara3.
Huu ugonjwa umekuwa wa kimkakati sana kwa kweli
teh ! teh ! teh teh !Tangu ugonjwa umeingia hadi unaondoka sijawahi kujipaka sanitizer kwa kweli hivyo hata sijui zikoje,Nimenawa mara7 na kuvaa barakoa mara3.
Huu ugonjwa umekuwa wa kimkakati sana kwa kweli
Tangu ugonjwa umeingia hadi unaondoka sijawahi kujipaka sanitizer kwa kweli hivyo hata sijui zikoje,Nimenawa mara7 na kuvaa barakoa mara3.
Huu ugonjwa umekuwa wa kimkakati sana kwa kweli
Roho mbaya ya kiafrika. Yaani kuna watu walidhani watatajirika kupitia coronaBiashara ya msimu hutakiwi kuiiga ama kwenda nayo kasi
Roho mbaya ya kiafrika. Yaani kuna watu walidhani watatajirika kupitia corona
Biashara ipo pale pale inategemea wewe una liangalia soko kwa namna ipi?
Mfano wakati shule zinafunguliwa kila mwanafunz anatakiwa aje na barakoa. Kwa mujibu wa muongozo wa wizara ya afya pamoja na elimu.
Sasa chakufanya kama barakoa zako ni standard basi fanya kutafuta shule utakazo ingia nazo ubiya ukiwa kama supplier wa hizo barakoa
Kwi!kwi!kwi!kwi eti wakuda wanakaza.teh ! teh ! teh teh !
Mie nilikiwa nagongea sanitizer za watu nikiona mtu katoa yake na mm nanyoosha mikono wengne wakuda walikuwa wanakaza hawakupi ila fresh
Hiyo barakoa ilikuwa nifanyaje tu kwenye MWENDOKASI hakuna namna nikawa navaa
Ugonjwa huu kwa kweli umekuwa wa kiinteligensia sana kwa ww uliyewashuhudia hao watu wakifa sawa ila sisi wengine ulikuwa ukituuliza toa ushahidi juu ya mtu uliyeshuhudia amekufa kwa korona basi tulikuwa hatuna cha kusema tunabaki kumung'unya mdomo tuHongera mkuu...kwa sisi tulioshuhudia watu 6 kufa na Korona ofisi jirani,tunakunywa nao chai,lunch na pengine kupanda gari pamoja ....hata tuliambiwa barakoa Ni Vitambaa vya Shetani hatuelewi!
Au eti haka Ni kugonjwa kadogo tu!
Hatudanganyiki!