Soko la choroko Dar es Salaam

Soko la choroko Dar es Salaam

Danpol

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Posts
5,727
Reaction score
8,918
Habari za muda huu wakuu, kwa yeyote mwenye taarifa ama anaejua soko la hii bidhaa hapa Dar es Salaam, msaada tafadhali.
 
Biashara za pm. JF where we dare talk openly
Hii ni biashara huria mkuu, naweza kuuzia kitu wewe kwa 3000 mwngne akanunua hicho hcho kwa 2500 au hata chini ya hapo, biashara baina ya watu wawil should kept secretly as possible, watu wanapaswa kujua unauza nini na yule ananunua nini, lkn maswala ya bei n siri baina yao
 
Danpol, wewe unaelewa biashara vizuri sana, ambaye anajiamini mia kwa mia kwamba bei yake ya kuuzia hawezi kupata upinzani ndio aweke bei yake hadharani.. ila bei elekezi ya kununua inawekwaga tu wazi ili watu wachukue uamuzi chap chap kukutafuta au la..
 
ni kweli mkuu, ugumu mmoja wa hii biashara watu ninao fanya nao n watu wa kati mara nying... bei kutowekwa wazi inakua na maana yake.. nadhan hapa tunaelewana,
 
Naona kama kuna harufu ya utapeli hapa, mbona bizaa zote watu wanauza humu na bei wanataja nyie mnashindwa nn? Kwani dengu imekuwa madawa ya kulevya au? Watu wanataja bei za magari na majumba itakuwa dengu bhana, stupid.
 
Back
Top Bottom