Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauzaje kwa kilo boss?Ni choroko mpya au ya zamani?Habari za muda huu wakuu, kwa yeyote mwenye taarifa ama anaejua soko la hii bidhaa hapa dsm.. msaada Tafadhali
Kwa kg unauzaje mkuu?n mpya, ndio imevunwa
Hii ni biashara huria mkuu, naweza kuuzia kitu wewe kwa 3000 mwngne akanunua hicho hcho kwa 2500 au hata chini ya hapo, biashara baina ya watu wawil should kept secretly as possible, watu wanapaswa kujua unauza nini na yule ananunua nini, lkn maswala ya bei n siri baina yaoBiashara za pm. JF where we dare talk openly
Hii ni biashara huria mkuu, naweza kuuzia kitu wewe kwa 3000 mwngne akanunua hicho hcho kwa 2500 au hata chini ya hapo, biashara baina ya watu wawil should kept secretly as possible, watu wanapaswa kujua unauza nini na yule ananunua nini, lkn maswala ya bei n siri baina yao
ni kweli mkuu, ugumu mmoja wa hii biashara watu ninao fanya nao n watu wa kati mara nying... bei kutowekwa wazi inakua na maana yake.. nadhan hapa tunaelewana,Danpol, wewe unaelewa biashara vizuri sana, ambaye anajiamini mia kwa mia kwamba bei yake ya kuuzia hawezi kupata upinzani ndio aweke bei yake hadharani.. ila bei elekezi ya kununua inawekwaga tu wazi ili watu wachukue uamuzi chap chap kukutafuta au la..
ZIPO TANI HAMSINI MKUU NITAFUTE KWA 0655509828,0768366716Una tani ngapi bei