Wadau Nina mtaji wangu hapa wa shilingi million mbili nataka nianze biashara ya dagaa ya jumla wa ziwa Victoria. Dagaa wa kukaanga, waliokauka kwa jua na pia dagaa kwa ajili ya kutengenezea Chakula cha mifugo. Samahani kwa mdau yeyote anayeweza kuwa na uhitaji tuwasiriane kwa +255685232010. Pia kama wadau mnaweza kunipatia taarifa za soko liliko au kumpatia mtu anayehitaji dagaa mawasiriano yangu. Nawategemea sana