Soko la dagaa wa ziwa Victoria.

Soko la dagaa wa ziwa Victoria.

Say no to actors

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Posts
637
Reaction score
641
Wadau Nina mtaji wangu hapa wa shilingi million mbili nataka nianze biashara ya dagaa ya jumla wa ziwa Victoria.

Dagaa wa kukaanga, waliokauka kwa jua na pia dagaa kwa ajili ya kutengenezea Chakula cha mifugo. Samahani kwa mdau yeyote anayeweza kuwa na uhitaji tuwasiliane kwa +255685232010.

Pia kama wadau mnaweza kunipatia taarifa za soko liliko au kumpatia mtu anayehitaji dagaa mawasiliano yangu. Nawategemea sana
 
Wadau Nina mtaji wangu hapa wa shilingi million mbili nataka nianze biashara ya dagaa ya jumla wa ziwa Victoria. Dagaa wa kukaanga, waliokauka kwa jua na pia dagaa kwa ajili ya kutengenezea Chakula cha mifugo. Samahani kwa mdau yeyote anayeweza kuwa na uhitaji tuwasiriane kwa +255685232010. Pia kama wadau mnaweza kunipatia taarifa za soko liliko au kumpatia mtu anayehitaji dagaa mawasiriano yangu. Nawategemea sana
Samahani wadau tuwe serious katika hili
 
Back
Top Bottom