habari zenu wakuu, natafuta soko la dagaa wachafu ambao hutumika kutengenezea chakula cha mifugo especially kuku, wateja wakubwa ni wale wenye viwanda vya kutengeneza vyakula hivyo, tatizo sijui viwanda vilipo. Naamini hapa ndo kwa wataalam wa kila kitu, naombeni mnisaidie kijana mwenzenu.