soko la dagaa wachafu

soko la dagaa wachafu

ZionTZ

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2009
Posts
1,283
Reaction score
541
habari zenu wakuu, natafuta soko la dagaa wachafu ambao hutumika kutengenezea chakula cha mifugo especially kuku, wateja wakubwa ni wale wenye viwanda vya kutengeneza vyakula hivyo, tatizo sijui viwanda vilipo. Naamini hapa ndo kwa wataalam wa kila kitu, naombeni mnisaidie kijana mwenzenu.
 
Kaka, ungekamilisha kwa kuwajuza Wadau Viwanda unavyovilenga, ungependelea viwe ni vya wapi!
 
Kaka Tuna Hitaji Sana, sasa ungeifanya Biashara Iwe Serious. Tafuta Sehemu Maalumu Na Jina La Biashara. Itakulipa, Tena Sijajua Kwanini Wakuu Wanakaa Kimya Nahisi Wana Ku Pm
 
Back
Top Bottom