Soko la DRC huwa tunagawana na Tanzania pasu

Kumbe Equity ni ya Kenya🙄 anyway, nina account pale nimeifungua kwa ajili ya manunuzi ya nje kwa njia ya mtandao, hawajawahi kuniangusha kwa kweli.
 
tulia uone kitachotokea ,kulikuwa na mavikwazo sasa magufuli kaongea nao yataisha
 
Juzi wafanyabishara wa bongo wanamlilia Rais kwamba hakuna benki za kibongo na wanachajiwa visa kubwa hadi rais anashangaa uvivu wa wabongo,sasa crdb inafunguka tawi Burundi na commoro kwa maskini huko ili wapate nini?
Hawajifunzi kwa wenzao kcb wako drc na equity Ethiopia? Kila siku kujipendekeza eti wanatoa gawio
 
Equity Bank wapo DRC pia, na branch yao huko ndio ilipata faida kubwa mwaka jana zaidi ya branch zozote zingine. KCB watawafata Equity kule Ethiopia pia. Kampuni za Kenya sio za kujipendekeza kwa serikali. Infact benki za Kenya huwa zinawasilisha kesi mahakamani dhidi ya serikali kuhusu sheria na maswala yanayowahusu. Sera na mazingira yanayofaa ndio wakenya wengi huwa wanadai kutoka kwa serikali yao. Hayo mengine wanayafanikisha wao wenyewe kwa kujituma na kufanya kazi kwa bidii.
 

The (mere) figures you put in here are not substantiated.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…