Soko la DRC huwa tunagawana na Tanzania pasu

Soko la DRC huwa tunagawana na Tanzania pasu

Relativity = Uhusianifu

Lakini hakuna uhusianifu wa 10 na 10.2

3-and-4.png
 
Naam, habari ndio hiyo. Benki ya Kenya, KCB ambayo ipo DRC inanuia kununua benki nyingine huko huko Congo. Wapo kwenye mikakati ya kuingia Rwanda pia na kununua benki Kigali. KCB wanafungua pia 'representative ofice' kule Beijing, China. Benki nyingine ya Kenya, Equity Bank nayo inanuia kununua benki zingine mpya Rwanda, Zambia, Mozambique na Tanzania. Yaani ukanda huu ni uwanja wetu sisi wakenya, tunashindana kibiashara sisi wenyewe kwa wenyewe. >>>https://af.reuters.com/article/drcNews/idAFL5N22I0QU
Kumbe Equity ni ya Kenya🙄 anyway, nina account pale nimeifungua kwa ajili ya manunuzi ya nje kwa njia ya mtandao, hawajawahi kuniangusha kwa kweli.
 
Pamoja na kwamba DRC hatupo nao kwenye mpaka mmoja, yaani ili usafiri kutoka Kenya hadi DRC itakubidi upitie Uganda yote uimalize, lakini la kushangaza, Wakenya kwa kujituma, thamani ya bidhaa zetu kwenda DRC kwa mwaka ni $150 millioni, ilhali Tanzania ambao wanachangia mpaka mrefu sana hapo na DRC na ikumbukwe wapo pamoja kwenye muungano wa SADC, thamani ya bidhaa zao kwenda huko ni $153 millioni.

Kwa kifupi, nimemuelewa rais wetu Uhuru kwa harakati alizoanzisha za kuwaleta hao DRC karibu, subiri wajiunge EAC, ina maana hapo hatutakua na vizingiti ambavyo hujitokeza mara nyingi ikiwemo masuala ya visa na mengineyo, ni mwendo wa kutafuta fursa za kibiashara na kuchangamkia hilo soko la watu milioni 84, ukizingatia pia Ethiopia yenye soko la watu milioni 105 walitufungulia milango, mabenki yetu tayari yametutangulia kwenye nchi zote mbili, hivyo ngoma inogile.

Huwa nasema humu mara nyingi, uzembe, uvivu na utepetevu wa majirani zetu ndio mtaji wetu.
--------------------------------------
The Democratic Republic of Congo has applied to join the East African Community in a move that could potentially expand the boundaries of the trading bloc to the Atlantic coast of Africa.
The application comes following months of talks between DR Congo President Felix Tshisekedi and Rwanda President Paul Kagame, who chairs the East African Community.
Sources familiar with the diplomatic talks that preceded the formal application say most EAC member states are enthusiastic about DR Congo’s membership.
The DRC officially communicated its intention to join the EAC in a letter to President Kagame dated June 8. Kinshasa said its desire to join the bloc was informed by its increasing trade ties with the region.
In response, President Kagame directed the EAC Secretariat to table DR Congo’s application for discussion at the next Heads of State Summit in November.
If it meets the admission requirements, members will vote on its admission.

GAME CHANGER
The potential membership of the Central African country is being viewed as a game-changer, given its natural resources wealth and a huge consumer market of 81 million people.
It is the world’s biggest producer of cobalt, a major component in the manufacture of rechargeable batteries for electric vehicles, and Africa’s main copper producer. It also a major producer of gold, diamonds, uranium, coltan, oil and other precious metals, making it one of the most resource-rich countries in the world.
DR Congo is also host to the world’s second-longest river, the Congo, vast swathes of fertile soil, potentially making it one of the biggest agricultural producers in the world.
DR Congo’s membership in the EAC, if fast-tracked and fully integrated through key infrastructure, also portends a timely pillar not only for the region but also for the bigger Africa Continental Free Trade Area.
“DR Congo’s membership offers the potential of opening a vast trading and communication corridor right across the middle of Africa from the Indian Ocean to the Atlantic Ocean,” said Jeremiah Owiti, a Nairobi-based policy analyst.
President Tshisekedi has, since his inauguration in January, shown keen interest in the EAC, and has officially visited five member states — Burundi, Kenya, Rwanda, Uganda and Tanzania. He even attempted to mediate between Rwanda and Uganda.
The Treaty establishing the EAC stipulates that new members be admitted on condition that they respect the principles of democracy, rule of law, accountability, transparency and social justice.
The Treaty also demands that the applicants, besides being geographically near any of the existing members, practise “equal opportunities, gender equality as well as recognise, promote and protect rights in accordance with the provisions of the African Charter on Human and Peoples' Rights.”
MARKET
Patience Mutesi, the Rwanda country director for TradeMark East Africa, welcomed DR Congo’s application, saying a larger EAC market means more opportunities for traders and consumers.
DR Congo offers a market almost half the size of the entire EAC, and will also seek to export to the region.
Data from the Uganda Trade Ministry shows the country exported $398 million’s worth of goods to DR Congo in 2018, and plans to increase that to $2 billion by 2020. However, Uganda only imported goods worth $2.5 million from DR Congo.
In Rwanda, exports to DR Congo were $456.8 million in 2018, against $11.2 million’s worth of imports, according to central bank statistics. Tanzania’s exports to the Central African nation were $153 million in 2017, while imports were $1 million, according to the Bank of Tanzania. Kenya sold goods worth $150 million to DR Congo in 2018 and imported $12 million’s worth of goods, according to the Kenya National Bureau of Statistics.
Despite the huge trade potential, DR Congo remains a volatile nation, fraught with internal strife and persistent outbreaks of deadly diseases such as Ebola, which has killed more than 1,200 people since last year.
DR Congo’s eastern region remains a hotbed of rebel activity and close to one million Congolese have fled the country, while 4.5 million others are internally displaced.
tulia uone kitachotokea ,kulikuwa na mavikwazo sasa magufuli kaongea nao yataisha
 
Naam, habari ndio hiyo. Benki ya Kenya, KCB ambayo ipo DRC inanuia kununua benki nyingine huko huko Congo. Wapo kwenye mikakati ya kuingia Rwanda pia na kununua benki Kigali. KCB wanafungua pia 'representative ofice' kule Beijing, China. Benki nyingine ya Kenya, Equity Bank nayo inanuia kununua benki zingine mpya Rwanda, Zambia, Mozambique na Tanzania. Yaani ukanda huu ni uwanja wetu sisi wakenya, tunashindana kibiashara sisi wenyewe kwa wenyewe. >>>https://af.reuters.com/article/drcNews/idAFL5N22I0QU
Juzi wafanyabishara wa bongo wanamlilia Rais kwamba hakuna benki za kibongo na wanachajiwa visa kubwa hadi rais anashangaa uvivu wa wabongo,sasa crdb inafunguka tawi Burundi na commoro kwa maskini huko ili wapate nini?
Hawajifunzi kwa wenzao kcb wako drc na equity Ethiopia? Kila siku kujipendekeza eti wanatoa gawio
 
Juzi wafanyabishara wa bongo wanamlilia Rais kwamba hakuna benki za kibongo na wanachajiwa visa kubwa hadi rais anashangaa uvivu wa wabongo,sasa crdb inafunguka tawi Burundi na commoro kwa maskini huko ili wapate nini?
Hawajifunzi kwa wenzao kcb wako drc na equity Ethiopia? Kila siku kujipendekeza eti wanatoa gawio
Equity Bank wapo DRC pia, na branch yao huko ndio ilipata faida kubwa mwaka jana zaidi ya branch zozote zingine. KCB watawafata Equity kule Ethiopia pia. Kampuni za Kenya sio za kujipendekeza kwa serikali. Infact benki za Kenya huwa zinawasilisha kesi mahakamani dhidi ya serikali kuhusu sheria na maswala yanayowahusu. Sera na mazingira yanayofaa ndio wakenya wengi huwa wanadai kutoka kwa serikali yao. Hayo mengine wanayafanikisha wao wenyewe kwa kujituma na kufanya kazi kwa bidii.
 
Tz imesafirisha mizigo worth $153million , Kenya $150 million na ujue Tz shares a 500km border with DRC. Unyinge wenu ni kutokubali mapungufu yenu, nakwqmbia Kama ni Kenya ingekuwa inashre mpaka na DRC na Rwanda 100% ya mizigo yao yote ingekuwa inapitia Kenya.

Kama infrastructure ni nzuri MBONA hata mizigo ya Rwanda inapitia Kenya? Mbona mizigo ya Kongo inapitia Kenya?

The (mere) figures you put in here are not substantiated.
 
Back
Top Bottom