Soko la" Facing bricks" Dar es salaam

serio

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
7,340
Reaction score
4,734
Habari wakuu..

Nimetembea tembelea nchi jirani na nikagundua nyumba nyingi zina exterior finishing ya facing bricks, simply beacause they are beautiful and require low maintenance.

So, I wondered, kwanini hapa Bongo hivi bricks hazitumiki sana? Na kama zinatumika, zinatengenezwa wapi? Soko lake likoje pia? Zinauzwaje?

Kama unajua jinsi ya kuzitengeneza, naomba u share na sisi pia.

Natanguliza shukrani.

 
utakua sababu ya baridi ndomana huweka hizo...huku kwetu zitakua hazifai labda kusini
 
utakua sababu ya baridi ndomana huweka hizo...huku kwetu zitakua hazifai labda kusini

huku wanaweka tanga stone, wengine wanaweka wall tiles.... tofauti iko wapi hapo kama joto ni sababu?
 
Inategemeana na hali ya hewa kwani ukiweka hizo zina joto sana labda maeneo yenye baridi kila wakati kama mikoa ya njombe, mbeya, moshi hivi wanaweza kuweka hizo zinafaaa kwao kwa hapa dar ni kuleteana karaha na joto lenyewe hili utadhani tuko kartun basi balaa bora kamvua haka kameleta ahueni
 
Nahisi kama wote mmeongea kinyume!!! Navyofahamu mimi hiz bricks ndo zinafahaa sehemu za joto sababu zinamatundu ambayo kuna hewa ambayo ina uwezo mdogo wa kusafirisha joto. Ndo maana inashauriwa kama inawezekana kujengea mawe au brocks zenye matundu katika sehemu za joto ili kupunguza joto majumbani kwetu.
Nipo tayari kukosolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…