serio
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 7,340
- 4,734
Habari wakuu..
Nimetembea tembelea nchi jirani na nikagundua nyumba nyingi zina exterior finishing ya facing bricks, simply beacause they are beautiful and require low maintenance.
So, I wondered, kwanini hapa Bongo hivi bricks hazitumiki sana? Na kama zinatumika, zinatengenezwa wapi? Soko lake likoje pia? Zinauzwaje?
Kama unajua jinsi ya kuzitengeneza, naomba u share na sisi pia.
Natanguliza shukrani.