Soko la hisa Dar es salaam

Soko la hisa Dar es salaam

scotex_

Member
Joined
Jun 6, 2022
Posts
8
Reaction score
1
Habari za muda huu wana jamii, mimi ni kijana wa miaka 22 nina hitaji kujua kuhusu soko la hisa
 
habari za muda huu wana jamii, mimi ni kijana wa miaka 22 nina hitaji kujua kuhusu soko la hisa
Soko la hisa dse ni soko pekee Tz amna lingine. DSE wanaoffer both equity and bonds na ununuzi hapa ufanyika kupitia brokers approved mfano Solomon & Orbit stock brokers. Sasa wewe unshughuli moja ya kufanya research juu ya kampuni zilizodhibitishwa na zinazo participate in DSE ili usipigwe, alafu ndio ufanye mawasiliano na broker unae mtaka/aliekidhi vigezo vako.

Muhimu ujue soko la hisa dar es salaam lina liquidity ndogo mno amshaamsha si nyingi kama masoko mengine duniani. Hujachelewa kama ndio unaanza uwekezaji katika hisa basi DSE ni sehemu sahihi ya kujifua.
 
Ni soko pekee ambalo ukiwekeza hela zako hazirudi tena, kiudupi ni genge la walaji
 
Wenye hisa voda naona wanalia tu

Ova
 
Soko la hisa dse ni soko pekee Tz amna lingine. DSE wanaoffer both equity and bonds na ununuzi hapa ufanyika kupitia brokers approved mfano Solomon & Orbit stock brokers. Sasa wewe unshughuli moja ya kufanya research juu ya kampuni zilizodhibitishwa na zinazo participate in DSE ili usipigwe, alafu ndio ufanye mawasiliano na broker unae mtaka/aliekidhi vigezo vako.

Muhimu ujue soko la hisa dar es salaam lina liquidity ndogo mno amshaamsha si nyingi kama masoko mengine duniani. Hujachelewa kama ndio unaanza uwekezaji katika hisa basi DSE ni sehemu sahihi ya kujifua.
Sawa mkuu umenipa mwanga . Asante
 
Back
Top Bottom