Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soko la hisa dse ni soko pekee Tz amna lingine. DSE wanaoffer both equity and bonds na ununuzi hapa ufanyika kupitia brokers approved mfano Solomon & Orbit stock brokers. Sasa wewe unshughuli moja ya kufanya research juu ya kampuni zilizodhibitishwa na zinazo participate in DSE ili usipigwe, alafu ndio ufanye mawasiliano na broker unae mtaka/aliekidhi vigezo vako.habari za muda huu wana jamii, mimi ni kijana wa miaka 22 nina hitaji kujua kuhusu soko la hisa
Sawa mkuu umenipa mwanga . AsanteSoko la hisa dse ni soko pekee Tz amna lingine. DSE wanaoffer both equity and bonds na ununuzi hapa ufanyika kupitia brokers approved mfano Solomon & Orbit stock brokers. Sasa wewe unshughuli moja ya kufanya research juu ya kampuni zilizodhibitishwa na zinazo participate in DSE ili usipigwe, alafu ndio ufanye mawasiliano na broker unae mtaka/aliekidhi vigezo vako.
Muhimu ujue soko la hisa dar es salaam lina liquidity ndogo mno amshaamsha si nyingi kama masoko mengine duniani. Hujachelewa kama ndio unaanza uwekezaji katika hisa basi DSE ni sehemu sahihi ya kujifua.