DOKEZO Soko La Hisa La Afrika Kusini lina kampuni 251 ila Bongo (DSE) soko lina kampuni 28 tu? Kwanini kampuni kubwa hazijiungi??

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Naomba kuuliza Wakuu

Hivi kwanini Tanzania kuna kampuni 28 tu kwenye soko la hisa? Ukienda kuangalia kwenye nchi nyingine kama Afrika Kusini unakuta kuna kampuni kama 200 hivi ambazo watu wanaweza kununua na kuuza hisa

Sasa naomba kueleweshwa kwanini? Hapa Bongo tuna watu kama kina Mo, Bakhressa na makampuni mengine makubwa kabisa lakini hayajawa listed kwenye stock exchange.

se.png

Kwanini?

Orodha ya kampuni zilizopo kwenye kila nchi kwenye soko la hisa
  • Afrika Kusini (JSE) - 251
  • Misri (EGX) - 215
  • Nigeria (NGX)- 155
  • Mauritius (SEM) - 100
  • Morocco - 75
  • Kenya - 63
===========================================

Nigeria’s stock market has been ranked as the third-highest in Africa by the number of listed companies, according to the Organisation of Economic Co-operation and Development (OECD).

The Nigerian Exchange (NGX) hosts 156 listed firms, trailing behind Egypt’s Egyptian Stock Exchange (245) and South Africa’s Johannesburg Stock Exchange (204), and has a market capitalisation of $33 billion, per OECD’s Africa Markets Report 2025.

“South Africa has the most developed public equity market, accounting for 60% of the region’s market capitalisation. Its market capitalisation to GDP ratio (84%) is not only significantly higher than that of other African countries but also exceeds that of EMs, which stands at 61%,” OECD said.

“At the country level, only a few markets stand out in terms of size and activity. In addition, the median size of South African listed companies is markedly larger compared to the figure for EMs and globally, with a median market capitalisation of USD 195 million. Morocco, Egypt, and Nigeria also have relatively large markets, together accounting for 15% of the region’s market capitalisation. Together, these three markets represent almost half of all listed companies in Africa,” the Paris-based think tank added.

Other countries in the top ten include Mauritius (94), Tunisia (79), Kenya (61), Zimbabwe (60), Cote d’Ivoire (45), Ghana (29), and Botswana (23).

“In contrast, stock exchanges in Tanzania, Ghana, Botswana, Uganda, Zambia, and Namibia remain very small, each listing between 12 and 29 companies. Their market capitalisation is also modest, ranging from 5% to 20% of their respective GDPs.”

The data is both broad and strategically significant. Home to sector giants such as banking, telecommunications, manufacturing, and energy, NGX also provides a platform for blue-chip companies, including MTN Nigeria and BUA Foods, becoming a critical vehicle for domestic wealth creation and institutional investment.

As of 2026, the bulls are still running. Nigeria surpassed N100 trillion market capitalisation, closing at N101.8 on 5 January 2026. Temi Poopola, group managing director/CEO, Nigerian Exchange Group (NGX), said the milestone “reflects the market’s growing depth, resilience, and capacity to respond positively to improving macroeconomic conditions and structural reforms.”

Popoola has said the Group intends to sustain the momentum by deepening market infrastructure, leveraging partnerships and technology, as they position Nigeria’s capital market as a leading destination for long-term investment in Africa.

Analysts expect a continuous momentum. In a recent report, the Central Bank of Nigeria said, “The capital market is expected to remain bullish in 2026, supported by recapitalisation exercise, rising investor confidence, and other policy measures aimed at fostering growth.”

Source: NGX Group
 
Elimu kwa waanzilishi wa company za ndani kuhusu hiza ni ndogo, na mshikaji wangu katoka Japan kafungu Company na kaisajili kwenye soko la hisa. ( kwa ufupi nchi bado haijawa na elimu pana ya hisa ). Hiyo idadi itakuwa kadri elimu na manufaa yake yatapokuwa yanaonekana
 
Kwani ni lazma kila kampuni iwe listed kwenye soko la hisa? 🤔

Kuuza hisa, maana yake rahisi ni "kuuza sehemu ya umiliki wa kampuni".
So, sio kila mtu anapenda kuuza umiliki wa kampuni yake.
Hivyo acha kampuni zingine ziwe "public" (ziuze hisa) na zingine ziwe "private" (zisiuze hisa kwa umma)

Na unaweza kujaza kampuni kwenye soko la hisa, lakini baada ya muda ukakuta wote wenye hisa zao wakawa hawataki kuziuza.
Je, hii nayo vipi?
 
Soko la hisa la DSE lilikua linaendeshwa kizamani sana kutokana na sheria zetu. Hili soko limeanza kuchangamka 2024, baada ya baadhi ya sheria kubadilishwa.

Ukiangalia bei za hisa zamani utakuta bei haibadiliki mwaka mzima unashangaa watu wanatrade vipi....

Ngoja tuone maboresho yanavyoendelea kama yatavutia kampuni zaidi.....

Ila pia nikuulize unaweza kutaja kampuni hata mia zilizo na mtaji hapq Tz?
 
Soko la hisa la DSE lilikua linaendeshwa kizamani sana
Hili soko limeanza kuchangamka 2024, baada ya baadhi ya sheria kubadilishwa.
Ukiangalia bei za hisa zamani utakuta bei haibadiliki mwaka mzima unashangaa watu wanatrade vipi
Pengine, labda watu waliomiki hisa zao walikuwa hawaziuzi.
Ila pia nikuulize unaweza kutaja kampuni hata mia zilizo na mtaji hapq Tz?

Elezea vizuri, what do you mean by the word "mtaji"?

Ukisema neno "kampuni",
Je, unamaanisha kampuni ya ukubwa upi?
yenye mali za thamani ipi?
mauzo ya kiasi gani kwa mwaka?
🤔
 
Ambazo zitakuwa na vitabu clean ili kuwa public...
Au unafikiri kuingia DSE unaingia tu? Kuna kiwango cha mtaji na pia vitabu lazima viwe safi kwa miaka kadhaa..
 
Naomba kuuliza Wakuu

Hivi kwanini Tanzania kuna kampuni 28 tu kwenye soko la hisa? Ukienda kuangalia kwenye nchi nyingine kama Afrika Kusini unakuta kuna kampuni kama 200 hivi ambazo watu wanaweza kununua na kuuza hisa

Sasa naomba kueleweshwa kwanini? Hapa Bongo tuna watu kama kina Mo, Bakhressa na makampuni mengine makubwa kabisa lakini hayajawa listed kwenye stock exchange.

View attachment 3588163

Kwanini?

Orodha ya kampuni zilizopo kwenye kila nchi kwenye soko la hisa
  • Afrika Kusini (JSE) - 251
  • Misri (EGX) - 215
  • Nigeria (NGX)- 155
  • Mauritius (SEM) - 100
  • Morocco - 75
  • Kenya - 63
Uchumi wetu wa kuchechemea sana alafu sisi bado sana kwenye mambo ya ubepari hayo ndio tunaanza kunusa nusa
 
Naomba kuuliza Wakuu

Hivi kwanini Tanzania kuna kampuni 28 tu kwenye soko la hisa? Ukienda kuangalia kwenye nchi nyingine kama Afrika Kusini unakuta kuna kampuni kama 200 hivi ambazo watu wanaweza kununua na kuuza hisa

Sasa naomba kueleweshwa kwanini? Hapa Bongo tuna watu kama kina Mo, Bakhressa na makampuni mengine makubwa kabisa lakini hayajawa listed kwenye stock exchange.

View attachment 3588163

Kwanini?

Orodha ya kampuni zilizopo kwenye kila nchi kwenye soko la hisa
  • Afrika Kusini (JSE) - 251
  • Misri (EGX) - 215
  • Nigeria (NGX)- 155
  • Mauritius (SEM) - 100
  • Morocco - 75
  • Kenya - 63
===========================================

Nigeria’s stock market has been ranked as the third-highest in Africa by the number of listed companies, according to the Organisation of Economic Co-operation and Development (OECD).

The Nigerian Exchange (NGX) hosts 156 listed firms, trailing behind Egypt’s Egyptian Stock Exchange (245) and South Africa’s Johannesburg Stock Exchange (204), and has a market capitalisation of $33 billion, per OECD’s Africa Markets Report 2025.

“South Africa has the most developed public equity market, accounting for 60% of the region’s market capitalisation. Its market capitalisation to GDP ratio (84%) is not only significantly higher than that of other African countries but also exceeds that of EMs, which stands at 61%,” OECD said.

“At the country level, only a few markets stand out in terms of size and activity. In addition, the median size of South African listed companies is markedly larger compared to the figure for EMs and globally, with a median market capitalisation of USD 195 million. Morocco, Egypt, and Nigeria also have relatively large markets, together accounting for 15% of the region’s market capitalisation. Together, these three markets represent almost half of all listed companies in Africa,” the Paris-based think tank added.

Other countries in the top ten include Mauritius (94), Tunisia (79), Kenya (61), Zimbabwe (60), Cote d’Ivoire (45), Ghana (29), and Botswana (23).

“In contrast, stock exchanges in Tanzania, Ghana, Botswana, Uganda, Zambia, and Namibia remain very small, each listing between 12 and 29 companies. Their market capitalisation is also modest, ranging from 5% to 20% of their respective GDPs.”

The data is both broad and strategically significant. Home to sector giants such as banking, telecommunications, manufacturing, and energy, NGX also provides a platform for blue-chip companies, including MTN Nigeria and BUA Foods, becoming a critical vehicle for domestic wealth creation and institutional investment.

As of 2026, the bulls are still running. Nigeria surpassed N100 trillion market capitalisation, closing at N101.8 on 5 January 2026. Temi Poopola, group managing director/CEO, Nigerian Exchange Group (NGX), said the milestone “reflects the market’s growing depth, resilience, and capacity to respond positively to improving macroeconomic conditions and structural reforms.”

Popoola has said the Group intends to sustain the momentum by deepening market infrastructure, leveraging partnerships and technology, as they position Nigeria’s capital market as a leading destination for long-term investment in Africa.

Analysts expect a continuous momentum. In a recent report, the Central Bank of Nigeria said, “The capital market is expected to remain bullish in 2026, supported by recapitalisation exercise, rising investor confidence, and other policy measures aimed at fostering growth.”

Source: NGX Group
Muitikio mdogo wa Watanzania Kwa sababu ya uelewa duni wa mambo ya hisa na uwekezaji.

So hata wakijiunga hakuna Cha maana wanapata
 
Soko la hisa la DSE lilikua linaendeshwa kizamani sana kutokana na sheria zetu. Hili soko limeanza kuchangamka 2024, baada ya baadhi ya sheria kubadilishwa.

Ukiangalia bei za hisa zamani utakuta bei haibadiliki mwaka mzima unashangaa watu wanatrade vipi....

Ngoja tuone maboresho yanavyoendelea kama yatavutia kampuni zaidi.....

Ila pia nikuulize unaweza kutaja kampuni hata mia zilizo na mtaji hapq Tz?
Siku zote mama ni reformist na mtaalamu wa uchumi na biashara
 
Kwani ni lazma kila kampuni iwe listed kwenye soko la hisa? 🤔

Kuuza hisa, maana yake rahisi ni "kuuza sehemu ya umiliki wa kampuni".
So, sio kila mtu anapenda kuuza umiliki wa kampuni yake.
Hivyo acha kampuni zingine ziwe "public" (ziuze hisa) na zingine ziwe "private" (zisiuze hisa kwa umma)

Na unaweza kujaza kampuni kwenye soko la hisa, lakini baada ya muda ukakuta wote wenye hisa zao wakawa hawataki kuziuza.
Je, hii nayo vipi?
Ulazima unakuja kutokana na manfuaa makubwa yaliyopo kwa Serikali ,Mmiliki na mwananchi wa kila siku
 
Naomba kuuliza Wakuu

Hivi kwanini Tanzania kuna kampuni 28 tu kwenye soko la hisa? Ukienda kuangalia kwenye nchi nyingine kama Afrika Kusini unakuta kuna kampuni kama 200 hivi ambazo watu wanaweza kununua na kuuza hisa

Sasa naomba kueleweshwa kwanini? Hapa Bongo tuna watu kama kina Mo, Bakhressa na makampuni mengine makubwa kabisa lakini hayajawa listed kwenye stock exchange.

View attachment 3588163

Kwanini?

Orodha ya kampuni zilizopo kwenye kila nchi kwenye soko la hisa
  • Afrika Kusini (JSE) - 251
  • Misri (EGX) - 215
  • Nigeria (NGX)- 155
  • Mauritius (SEM) - 100
  • Morocco - 75
  • Kenya - 63
===========================================

Nigeria’s stock market has been ranked as the third-highest in Africa by the number of listed companies, according to the Organisation of Economic Co-operation and Development (OECD).

The Nigerian Exchange (NGX) hosts 156 listed firms, trailing behind Egypt’s Egyptian Stock Exchange (245) and South Africa’s Johannesburg Stock Exchange (204), and has a market capitalisation of $33 billion, per OECD’s Africa Markets Report 2025.

“South Africa has the most developed public equity market, accounting for 60% of the region’s market capitalisation. Its market capitalisation to GDP ratio (84%) is not only significantly higher than that of other African countries but also exceeds that of EMs, which stands at 61%,” OECD said.

“At the country level, only a few markets stand out in terms of size and activity. In addition, the median size of South African listed companies is markedly larger compared to the figure for EMs and globally, with a median market capitalisation of USD 195 million. Morocco, Egypt, and Nigeria also have relatively large markets, together accounting for 15% of the region’s market capitalisation. Together, these three markets represent almost half of all listed companies in Africa,” the Paris-based think tank added.

Other countries in the top ten include Mauritius (94), Tunisia (79), Kenya (61), Zimbabwe (60), Cote d’Ivoire (45), Ghana (29), and Botswana (23).

“In contrast, stock exchanges in Tanzania, Ghana, Botswana, Uganda, Zambia, and Namibia remain very small, each listing between 12 and 29 companies. Their market capitalisation is also modest, ranging from 5% to 20% of their respective GDPs.”

The data is both broad and strategically significant. Home to sector giants such as banking, telecommunications, manufacturing, and energy, NGX also provides a platform for blue-chip companies, including MTN Nigeria and BUA Foods, becoming a critical vehicle for domestic wealth creation and institutional investment.

As of 2026, the bulls are still running. Nigeria surpassed N100 trillion market capitalisation, closing at N101.8 on 5 January 2026. Temi Poopola, group managing director/CEO, Nigerian Exchange Group (NGX), said the milestone “reflects the market’s growing depth, resilience, and capacity to respond positively to improving macroeconomic conditions and structural reforms.”

Popoola has said the Group intends to sustain the momentum by deepening market infrastructure, leveraging partnerships and technology, as they position Nigeria’s capital market as a leading destination for long-term investment in Africa.

Analysts expect a continuous momentum. In a recent report, the Central Bank of Nigeria said, “The capital market is expected to remain bullish in 2026, supported by recapitalisation exercise, rising investor confidence, and other policy measures aimed at fostering growth.”

Source: NGX Group
Top African countries GDP

GDP (nominal) of Africa 2026[1]
South Africa (15.4%)
Egypt (13.8%)
Nigeria (12.1%)
Algeria (10.2%)
Morocco (6.20%)
Angola (4.90%)
Kenya (4.70%)
Democratic Republic of the Congo (4.00%)
Ethiopia (3.90%)
Ghana (3.80%)
Other countries (21.0%
 
Back
Top Bottom