Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

Mimi ni Mhanga wa HISA. nilinunua Hisa 100 toka mwaka 1999 kutoka TOL hadi leo sijasikia faida wala kuulizwa, na nimeingia mkenge mwengine nimenunua HISA Vodacom hadi leo hii sijasikia lolote, hivi inakuaje kuaje? mimi sasa nipo Maswa na Shinyanga baada ya kustaafu
 
Asante kwa elimu. Ni muda tangu ni post hii na nimejifunza mengi sana kwenye masoko ya nje Na nilichogundua experience ndio inasaidia.
 
mkuu naomba unisaidie naweza kuuzaje hisa za voda, nataka kupunguza Mia
 
Habari zenu wadau.
Na Mimi nimewaza kutokana na ugumu wa biashara nchini mwetu nikaona ni bora nianze kuwekeza kwenye hisa.

Vipi mwaka huu soko la hisa limekaa vipi? Kwa yeyote mwenye uelewa.
Ahsante.
 
Jaman Naombeni elimu juu Na hamna Ya kumiliki hisa Za kampuni yoyote na kuwa moja Ya share holder Wa kampuni
 
Jaman Naombeni elimu juu Na hamna Ya kumiliki hisa Za kampuni yoyote na kuwa moja Ya share holder Wa kampuni
Daah hapo n ktengo Muhimu Kaka na me pia napenda kupata Ufaham kuhusu hilo
 
Hivi ni jitihada gani wanafanya viongozi Wa DSE kuongeza thamani ya solo liwe la kuvutia kwa wekezaji Wa ndani
 
Kwa daily trading ni vyema kutembelea website ya dse kuangalia performance ya makampuni mbalimbali yalyoorodheshwa kwenye solo
Habari zenu wadau.
Na Mimi nimewaza kutokana na ugumu wa biashara nchini mwetu nikaona ni bora nianze kuwekeza kwenye hisa.
Vipi mwaka huu soko la hisa limekaa vipi?
Kwa yeyote mwenye uelewa.
Ahsante.
 
Kuna mzee hapa anasema mwaka 2015 alinunua 100 shares za DSE. sasa nipo naye hapa hajui afanyaje na hakumbuki maelekezo yoyote ila depository receipt anayo
Aende akaonyeshe hiyo depository receipt kwa broker aliponunua hisa pamoja na ID card yake atapewa maelekezo yote akitaka kuuza.

Isome vizuri hiyo receipt itakuwa na jina la broker aliponunulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…