Fredwash
JF-Expert Member
- Oct 27, 2009
- 1,400
- 2,010
Sijui wanamatatizo gani washakuwa cya kutosha wanataka wakur hadi wapi.. hata wenzao safari com kenya wanatoa dividends mwaka huu sema duh yaan haifiki hata shilingi moja ya kenya per shareTunatia huruma sana tulioingia kwenye huu mtego
Kwa sie wenye pesa za mawazo bora tukomae na MMF na trust funds au Govt Bonds ambako tunaambiana labisa mapema faida elekezi ni % ngapi na hata ikipanda au kushuka walau unajua haiwez shuka chini ya nusu ya %. Elekezi.. ila huku kuwekeza direct kwenye stocks za makampuni kama
Voda sijui twiga kunatakiwa watu ambao washashiba pesa.. ambao yaan kuingia 100m+ kama
Faida kwao kwa mwez sio issue ambako anaweza hata akawekeza bilion au zaidi.. na hata akipata gawio haiwazii sana