Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

Gawio halitolewi, kampuni ina hasara, na mahesabu yao hayaeleweki (hayatolewi kwa wakati) mpaka BODI imepigwa mkwara na CMSA. Sasa issue ipo kwa wale wanaotaka kuuza hisa zao DSE, kwani kibali kinachoruhusu kampuni kufanya biashara huko kimezuiwa
Kwahiyo bora UTT
 
Wakuu Kuna aliyefanikiwa kuuza hisa kupitia dse hisa kiganjani?

Unfortunately nimewatumia email dse ni wapo kimya tu
 
Yaani tuliingizwa kingi kama sio kuelekezwa kibra. Hela yangu inaniuma sana...sitaki kusikia ushuzi wa hisa kisa hawa wajinga
Pole sana kiongozi. Umakini ni muhimu sana kwenye haya mambo.
 
Nilienda kuuza hisa zangu za tbl nikaambiwa hazinunuliwi tangu mwaka 2019 mpka mwaka huu wanadai eti Bei za kuuza zipo naweza kupata mtu wa kumuuzia hapa
 
You are right NDACHUWA, ndi maana ukisoma post no 2, ameambiwa awaone investmest advisors kabla ya kuingis DSE, na ni ushauri unaotolewa na CMSA pia kabla ya kununua hisa. Hilo suala ya kumuonyesha makampuni yaliyopata hasara ni la msingi sana kwani vyema mtu akijua pande mbili za shilingi kuna nini. na ndio maana amekuwa interested kujua zaidi kilichotekea.

Kuna watu wakisikia hisa wanajua ni suala la faida tu na hakuna hasara kitu ambacho ni very wrong. Cha msingi ni kuchagua hayo makampuni ka uangalifu na kuzingatia ushauri wa wataalamu.

Kuhusu hisa za CRDB, ni kweli bado zipo chini sikatai, lakini ni vyema ukajua zimecheza kwenye hiyo bei kwa muda gani? Kuna watu wanataka kununua hisa, si ili wawekeze fedha zao na kupata magawio (dividends) bali waweze kuziuza ndani ya muda mfupi ili watengeneze faida, ndio maana akaambiwa kama yeye ni mmoja wao ni vyema akasubiri wakati wa IPO. Nimesikia kuna kampuni ya RICHLAND RESOURCES (Tanzanite One- as it then was) inaingia sokoni, issue ni kwamba wananchi wa kawaida watamudu gharama (hisa moja itauzwa kwa sh.ngapi?)

Kaka umeongea vyema...weng wanajua hisa n Kupata faida tuuuu ... nikiwemo mm kumbe kuna namna hapoo
 
Yaani tuliingizwa kingi kama sio kuelekezwa kibra. Hela yangu inaniuma sana...sitaki kusikia ushuzi wa hisa kisa hawa wajinga
Hisa ziko vizuri tuu mkuu,sema umebanwa na shida sasa mali haiuziki unavyotaka!
 
Back
Top Bottom