Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

NAUZA CARWASH MPYA YA KISASA
MAELEZO: UJENZI, MACHINE ZOTE, VYOMBO, SIMTANK, KODI n.k
JUMLA: TZS 8,000,000

LOCATION: KINONDONI BLOCK 41
CALL: 0717 26 33 77
 
NAUZA CARWASH MPYA YA KISASA
MAELEZO: UJENZI, MACHINE ZOTE, VYOMBO, SIMTANK, KODI n.k
JUMLA: TZS 8,000,000

LOCATION: KINONDONI BLOCK 41
CALL: 0717 26 33 77
Fanya 5m .... tumalize swala
 
Hivi hawa Precision Air Wameishia wapi na hisa zetu maana ni miaka 10 sasa patupu!!!
 
Samahani mkuu, nimechelewa kujibu swali lako mambo ya mwaka mpya, nimeku PM namba ya jamaa mojawapo yuko Dar wasiliana nae atakupa maelekezo na kujibu maswali yako bila malipo. Asante
Ntumie na mimi chief, ubarikiwe
 
Nina miliki hisa kwenye Kampuni ya NICOL naona sasa nahitaji kuziuza je, kuna ajuaye Bei ya hisa Moja kwasasa?
 
Hisa ni mfumo wa umiliki wa biashara kwa pamoja. yani ni umiliki wa kipande au sehemu ya kampuni. jinsi ya kupata faida ni kutokana na gawio yani sehemu ya faida ya kampuni ugawanywa kwa wanahisa kulingana na idadi ya hisa na faida iliyopatikana.

Lakini pia kama ikitokea hasara imepatikana katika kampuni inamaana pia wanahisa watakuwa wanachangia mzigo unaotokana na hasara hii.pia unaweza kunufaika kwa upandaji wa thamani ya hisa katika soko kwani unaweza kuuza wakati ziko bei ya juu na kununua wakati wa bei ndogo.

Kwa hiyo ni vema kuzingatia kuwekeza kwenye kampuni zenye uhakika yani imara yani zenye historia na zinazopata faida. pia unaweza kupata faida kwa kuuza hisa katika soko la hisa yani stock exchange . kampuni nyingi zinatoa gawio mara moja au mbili kwa mwaka.
Nimekubali mkuu
 
Wadau nina hisa za NMB zipo 170 ninauza kwa bei ya discount, kwa anayehitaji nitumie ujumbe pm.
 
Hivi hawa Precision Air Wameishia wapi na hisa zetu maana ni miaka 10 sasa patupu!!!
Kampuni ipo ila kipindi cha hayati J.P MAGUFULI hakukuwa na fair competition jumlisha COVID-19 kwahiyo mashirika ya ndege yaliathirika sana. Japo kwa sasa kuna dalili njema
 
Back
Top Bottom