Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu kwa kuwaambia ukweli . Nadhani wanafikiria na matakore kuhusu uchumi wa Russia unakua hayanaga akili kabisa hizo ubongo zao zimejaa pupu kama sio matope , nchi Iko kwa vita na umewekewa vikwazo vya uchumi , huo uchumi utakuaje?Jf ina mazuzu sana, kuna watu walikuwa wanashangilia ulaya ndio muathirika wa vikwazo walivyoweka kwa Russia na Russia vikwazo havimuathiri ila uchumi wake unakua zaidi.
Ajira zaidi ya laki mbili zimepigwa pini, soko la gas limepungua, kampuni zaidi ya elfu 2 zimefungwa n.k halafu uje useme uchumi haujayumba.
Ni vile westerns vyombo vya habar vipo huru kuripot kila kitu, Russia kungekuwa huru tungeona taarifa nyingi za kushuka kwa uchumi wao.
Mkuu hawa kwa 95% lazima wawe mashabiki wa kile chama ambacho neno "kufikiri" halina maana kwao!Jf ina mazuzu sana, kuna watu walikuwa wanashangilia ulaya ndio muathirika wa vikwazo walivyoweka kwa Russia na Russia vikwazo havimuathiri ila uchumi wake unakua zaidi.
Russia mpaka taarifa za matumizi zinafichwa kwa sasa.Mkuu hawa kwa 95% lazima wawe mashabiki wa kile chama ambacho neno "kufikiri" halina maana kwao!
Tuwe wapole tu, joto linalofurukuta Russia sio dogo.Asante mkuu kwa kuwaambia ukweli . Nadhani wanafikiria na matakore kuhusu uchumi wa Russia unakua hayanaga akili kabisa hizo ubongo zao zimejaa pupu kama sio matope , nchi Iko kwa vita na umewekewa vikwazo vya uchumi , huo uchumi utakuaje?
Alishaaminishwa yeye ni superpower kuliko US na washirika wake. Alishaaminishwa hakuna wa kumgusa, anaogopwa n.kWanasema ugomvi wowote we kaa kimyaa tuu.
Light Russia ange kaa kimya kama mwenzie Kiduku wala asingepitia kipindi hiki.
Sasa cheki asaivi kaonekana boya tuu ni vile tuu wana muheshin.
Lasivyo asaivi hata Takro anaweza shikwa tuu maana anaonekana mlaini tuu
Pro Russia mkizidiwa tu na hoja mnakimbilia hii comment utadhani mmekalilishwa kutoka Kremlin.Jamaa unajijibu mwenyewe kwa id tofauti.
Ruto kununua mafuta Russia na wewe utanufaika